Wakili wa Tigo adai kwao Compliance (Utii) kwa mamlaka ni kipaumbele kuliko Privacy (faragha) za Wateja

Utetezi kama huu ndo unawafanya mdharaulike mnakuwa na mahaba kupita kiasi unajua hata muuaji anahaki zake za privacy
Mahaba gani kenge wewe
..Bashite ,Sabaya,Musiba n.k walikuwa wakatili kama baba yawo Kidevu....Shameless murders
 
Huyu jamaa atakuwa usalama.. lakin mwana CCM. His cover have been blown!
 
Nilikuwepo mkuu
Huwa sikosi mambo ya msingi

Wamebadilikaje?
Kuku akikoswa koswa kudakwa na mwewe hulia kwa uchungu sana kuomboleza tukio, halafu hujirekebisha hajianiki kizembe tena, kisha huishia kula sana kwa njia ya kuchakura chakura ili kurejesha furaha yake.

Nilitolea mfano wa Roma mkatoliki, alivyotekwa na kuachiwa, wananzengo wakamuulizia sana 'sanga' alilokumbana nalo huko alikopelekwa, waalah hakusema na wala hatakuja sema, ni mkataba wa kiapo ambacho hawezi kuja kuuvunja.

Haya tuje na staff wa Jf Max, tangia aburuzwe mahakamani, ule uhuru wetu members wa ku"talk openly" umefinywa, members ku'ban'kwa bila onyo ama kubadilishiwa headings ama jukwaa bila kupewa angalizo!

Yote hayo ni woga wa kutii mamlaka bila shurti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa vizuri hii issue ikatolewa uamuzi na mahakama kwa 'aggrieved persons' kufungua kesi dhidi ya tigo.
 
 
Aisee... hapa kwa jf hadi nimecheka...kwel kabisaa..saiz ukiandika case sensitive basi mods wanafyeka uzi haraka sana [emoji1787][emoji1787]
 
Aisee... hapa kwa jf hadi nimecheka...kwel kabisaa..saiz ukiandika case sensitive basi mods wanafyeka uzi haraka sana [emoji1787][emoji1787]
Ni wajinga tu watakao ilaumi tigo.
Issue ni kwamba wanatoa nyaraka au taarifa za mteja kwa mujibu wa sheria.

Fungueni mitandao yenu ya simu hapa bongo muone kama mtatunisha ubavu.
 
Ni wajinga tu watakao ilaumi tigo.
Issue ni kwamba wanatoa nyaraka au taarifa za mteja kwa mujibu wa sheria.

Fungueni mitandao yenu ya simu hapa bongo muone kama mtatunisha ubavu.
Sheria inasemaje?
Sheria ipi inasema mteja hana haki ya faragha?
 
Kuna watu kazi yao ni kupiga makofi
Hata uwaeleweshe vipi hawawezi kukuelewa maana akili zao ziko kwenye ushabiki wa chama.

Yani wao wanachoamini

1.Polisi hakosei
2.Serikali haikosei
3.Kuikosoa serikali ni jinai
4.Ukiwa Mtanzania kama sio msukule wa ccm, wewe ni mhalifu.
6.Uzalendo ni kuipenda ccm hata waseme wanachi wote wauwawe wataunga mkono.

Unawezaje kumwelewesha mtu wa namna hii akaelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…