Wakili wa Tigo adai kwao Compliance (Utii) kwa mamlaka ni kipaumbele kuliko Privacy (faragha) za Wateja

Wakili wa Tigo adai kwao Compliance (Utii) kwa mamlaka ni kipaumbele kuliko Privacy (faragha) za Wateja

Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa...
Si mlifurahia ule ushahid wa sabaya kutoka vodacom
 
Hii kampuni ingekuwa ulaya nahisi mpaka muda huu ingeporomoka kiuchumi vibaya Sana. Nahisi hii kesi itazidi kutoa Siri nyingi Sana ni Bora mashahidi wangekuwa wachache kuliko kuleta ujinga mahakamani
Mbona ushahid wa sabaya kutoka vodacom hamkushupaza shingo hivi
 
Yani inamaana pamoja na kujinasibu kama watu wanaozijua Sheria, hawakuwa wanajua kama mamalaka zimepewa uwezo huo pale inapolazimu? Na kwa hii kesi ilikuwa ni lazima kuexpose ushahisi wowote unaoweza kurahisha kesi...
Ndo maana machadema huwa yananisikitisha sana kule kwa sabaya ushahidi wa vodacom waliushangilia kwa vinderemo iweje leo waone ni nongwa kwa jamaa yao .wavumilie tu
 
Mbona hamkususia vodacom kama mna ubavu huo
Naona unamlazimisha ngamia kunywa maji.

Simu yangu unaanze kunilazimisha kutumia line za watu wasiyo na uwezo wa kutunza siri za mteja?
 
This is why tunahitaji katiba mpya. Katiba ambayo itamlinda mwananchi kulinda privacy yake, muda wa mtu kukaa remand na kesi kusikilizwa
Hatuwezi kuwa na katiba ya namna hiyo kulinda hadi magaidi kwa kigezo cha privacy hakuna na haitakaa itokee
 
Hatuwezi kuwa na katiba ya namna hiyo kulinda hadi magaidi kwa kigezo cha privacy hakuna na haitakaa itokee
Yaani wewe kijana una roho mbaya sana.

Unashindwa hata kuwa na huruma na gaidi mwenzenu Hamza?
 
Hapana ndugu Crocodiletooth, unawahi mno kutoa conclusion ili ukidhi kiu ya utakacho wewe...

Hoja hapa siyo kumlinda au kutomlinda mhalifu kwa sababu mpaka hapa tulipo sasa hakuna aliyekwisha kuthibitishwa na mahakama kuwa ni mhalifu...
Hii nguvu inayotumika kwa mboye mbona haikutumika kwa sabaya kipindi kile vodacom walipotoa ushahidi wao
 
Siyo Wewe tu, shahidi wa leo amekuja kuiambia mahakama kwamba Mbowe alituma laki 5! Mnang’ng’ania ni za ugaidi, kwa kigezo gani? Huyu shahidi yenu amehusishaje hiyo laki 5 na ugaidi?
Ametuma kufanikisha nini
 
Na wewe jiongeze kidogo! Hivi unapotuma muamala wa fedha Kuna kipengele chochote kinachoonyesha matumizi ya fedha uliyotuma? Kwanini huyo mwanasheria wa tigo aspeculate kuwa muamala huo ulitumwa Kwa kazi fulani ilihali hata barua anayodai ilimtoka polisi haikuainisha sababu Wala kosa lililodhamiriwa na muamala huo? Mwanasheria kilaza TU asiyeweza kureason Bali kuconlude na kujudge! Hastahili hiyo nafasi kwani kaichafua Sana kampuni ya tigo! Afukuzwe kazi mara moja!
Rudie tena kusoma alichopost mwezako naona umejitungia swali na kuweka jibu unalotaka
 
Hii kweli ni home of great thinkers[emoji23].

Ikiwa kwenye kesi imethibitika kuwa tarehe fulani kiasi fulani cha fedha kilitumwa (shahid kasema), na hakuna traces zozote kwenye simu ya mtuhumiwa inayoonyesha kuwa alituma hiyo pesa (pengine labda aliifuta), utaupata wapi ushaidi wa kuthibitisha huo muamala kama sio kwenda Tigo kwenywe?...
Na wew unapoteza mda kumjibu hicho kitumbua wao wanamuona mbowe kama mungu mtu ili hali ana mambo yake anayafanya gizani
 
Maovu ya sabaya yapo wazi hata wewe ungeenda kutoa ushahidi, tuambie maovu ya Mbowe wapi analalamikiwa na raia wa kawaida zaidi ya serikali hii katili?
Utetezi kama huu ndo unawafanya mdharaulike mnakuwa na mahaba kupita kiasi unajua hata muuaji anahaki zake za privacy
 
Ameulizwa kipaumbele cha kampuni nini akajibu nini? hiyo ni kampuni sasa au ni takataka?
Mjinga ni wew unaitumia tigo (takataka) kuwasilina na hawara zako kutuma pesa kwa vimada wako
 
Hatuwezi kuwa na katiba ya namna hiyo kulinda hadi magaidi kwa kigezo cha privacy hakuna na haitakaa itokee
kwa ushaidi huo wa kuunga na supagluu kuna ugaidi hapo? au ni ushabiki wa lumumba umekujaa
 
Back
Top Bottom