Wakili Wasonga: Mlalamikaji kesi ya Tundu ni nani? Kama kusema No Reforms No Election ni shida kwa CCM, basi nao waje na No Reforms Yes Election 2025

Huyu wakili aliyebadili majina mara zaidi ya kumi, mtu wa hovyo tu, jina lake Elia William, leo kawa nani sijui msonga ugali. Takataka kabisa
 
Hujajadili hoja umemjadili mtu
 
Huyu wakili aliyebadili majina mara zaidi ya kumi, mtu wa hovyo tu, jina lake Elia William, leo kawa nani sijui msonga ugali. Takataka kabisa
mmeachiwa mjichague wenyewe lakini bado hamridhiki!
#NoReformsNoElection
 
Huyu wakili aliyebadili majina mara zaidi ya kumi, mtu wa hovyo tu, jina lake Elia William, leo kawa nani sijui msonga ugali. Takataka kabisa
Kama wewe ulivyobadili kutoka kinembe hadi chiembe?

Baada ya October utajikuta Mirembe.
 
View: https://youtu.be/ObaBimC3_F4?si=lVSHh2jVaLXV67Ta
Huyu wakili inabidi ajiandae Kutekwa na kikosi kazi cha Abdul na Mchengerwa..

Hajui kuwa ni marufuku kusema haya maneno?

Mtazame, msikilize. Toa maoni yako

Ila amesema ukweli. Kesi ya Lissu ni ya mchongo. Kusema No reforms no election, ni kauli ya kawaida kabisa ya kisiasa yenye lengo la kufikisha ujumbe wa kufanyika marekebisho ya kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na wa haki.
 
Back
Top Bottom