The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Wewe ni miongoni mwa watekaji?Huyu wakili aliyebadili majina mara zaidi ya kumi, mtu wa hovyo tu, jina lake Elia William, leo kawa nani sijui msonga ugali. Takataka kabisa
Nateka majiWewe ni miongoni mwa watekaji?
Aah, Mdude Nyagali ni maji sio..?Nateka maji
Unaweza kuwa wakili lakini ukawa kilaza
View: https://youtu.be/ObaBimC3_F4?si=lVSHh2jVaLXV67TaHuyu wakili inabidi ajiandae Kutekwa na kikosi kazi cha Abdul na Mchengerwa..
Hajui kuwa ni marufuku kusema haya maneno?
Mtazame, msikilize. Toa maoni yako
Hujajadili hoja umemjadili mtuHuyu wakili aliyebadili majina mara zaidi ya kumi, mtu wa hovyo tu, jina lake Elia William, leo kawa nani sijui msonga ugali. Takataka kabisa
mmeachiwa mjichague wenyewe lakini bado hamridhiki!Huyu wakili aliyebadili majina mara zaidi ya kumi, mtu wa hovyo tu, jina lake Elia William, leo kawa nani sijui msonga ugali. Takataka kabisa
Vita haina machoHujajadili hoja umemjadili mtu
Kama wewe ulivyobadili kutoka kinembe hadi chiembe?Huyu wakili aliyebadili majina mara zaidi ya kumi, mtu wa hovyo tu, jina lake Elia William, leo kawa nani sijui msonga ugali. Takataka kabisa
Ila amesema ukweli. Kesi ya Lissu ni ya mchongo. Kusema No reforms no election, ni kauli ya kawaida kabisa ya kisiasa yenye lengo la kufikisha ujumbe wa kufanyika marekebisho ya kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na wa haki.
View: https://youtu.be/ObaBimC3_F4?si=lVSHh2jVaLXV67TaHuyu wakili inabidi ajiandae Kutekwa na kikosi kazi cha Abdul na Mchengerwa..
Hajui kuwa ni marufuku kusema haya maneno?
Mtazame, msikilize. Toa maoni yako