heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Hao warundi na warwanda yani hapa atapata hifadhi nzuri mcolombia au mnigeria alietoka uko ukimbizini sio majirani anatakiwa kuhifadhiwa anaetoka mbali jirani ajipambanie na kwake afe kwa ajili y mwanae anaetoka mbali atasaidiwakina nani