Wakimbizi wa kisiasa warudi nchini, hali ni shwari

Wakimbizi wa kisiasa warudi nchini, hali ni shwari

situjadiriane

Member
Joined
Jan 5, 2023
Posts
41
Reaction score
49
Kwa heshima kuu napenda kuwashauri ndugu zetu waliokimbia nchi warejee nchini kwani chini ya uongozi Wa mama Samia nchi ni shwari na salama.

Nakuomba mheshimiwa Tundu Lisu na Godbless Lema rudini nchini tuijenge nchi yetu.

Chini ya uongozi wa Rais Samia Tanzania nikinara cha Amani barani Africa.chonde chonde rudini tunawaitaji njoo tuijenge nchi yetu.
 
Back
Top Bottom