Wakimchezesha Morrison, Niyonzima na Lamime ' wanapigwa ' 3 kwa 0, ila wasipowachezesha ' watapigwa ' 2 kwa 1 au 1 kwa 0

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Sikumbuki ni lini nimewahi Kuleta UItabiri wangu hapa wa Kuihusu Mechi ya Simba na Yanga na 95% hadi 99.9999% usiwe sahihi kwani huwa nahakikishiwa na ' Mtaalam ' wangu Mmoja kutoka Pemba na mwingine kutokea Milima ya Uluguru Mkoani Morogoro ba bahati nzuri ni kwamba ' Wataalam ' wote hawa ni Wanawake ambao wapo vizuri ile mbaya katika ' Nujumu ' za Kimpira.

Kifupi tu ni kwamba Jumapili ya tarehe 12 July 2020 Yanga SC anaenda Kufungwa kati ya Goli 3 kwa 0 au 2 kwa 1 au 1 kwa 0 ila Yanga SC hata wafanye nini ' Kinyota ' hiyo Siku imekaa vibaya sana Kwao na kama wasipokuwa makini kuna uwezekano mkubwa hata wakafungwa Goli 4 kama si 5 kabisa japo ambazo zinaonekana ' Kinujumu ' za zina uhakika ni hizo nilizozitaja hapo juu.

Haya sasa wana Simba SC Kazi Kwenu Kujitokeza kwa wingi mkaujaze Uwanja kwani Safari hii Yanga SC Watatafutana na Kuuana pia Uwanjani.
 
Sio kwa mwaka huu, Hakuna dalili ya Simba kumfunga Yanga kwa namna yoyote. Ata kama baada ya tarehe 12 wakicheza tena mechi za kirafiki hakuna dalili ya Simba kufurukuta. Tusubiri tarehe 12. Mashabiki wa Simba ata wakienda na ku kujaza uwanja wote pasiwepo na mashabiki ata mmoja wa Yanga bado Yanga atashinda.Kinachotakiwa Simba wafanye wanavyo weza Yanga wasi ingie uwanjani maana ata iki ahirishwa Yanga atashinda labda ichezwe mwakani.
 
Ah..game ya mbilimbili ulileta utabiri wako hapa kilichotokea sote tuliona game ya moja bila pia ulileta porojo zako karibu kila game lazma ulete mipasho yako baada ya dk90 huwa huonekani!
 
Naendelea Kusisitiza tena nikijiamini kabisa kuwa Yanga SC Jumapili anafungwa Goli 3 kwa 0 au 2 kwa 1 au 1 kwa 0 na ikiwezekana hata zaidi pia.
 
Sikumbuki ni lini nimewahi Kuleta UItabiri wangu hapa wa Kuihusu Mechi ya Simba na Yanga na 95% hadi 99.9999% usiwe sahihi kwani huwa nahakikishiwa na ' Mtaalam ' wangu Mmoja kutoka Pemba na mwingine kutokea Milima ya Uluguru Mkoani Morogoro ba bahati nzuri ni kwamba ' Wataalam ' wote hawa ni Wanawake ambao wapo vizuri ile mbaya katika ' Nujumu ' za Kimpira.

Kifupi tu ni kwamba Jumapili ya tarehe 12 July 2020 Yanga SC anaenda Kufungwa kati ya Goli 3 kwa 0 au 2 kwa 1 au 1 kwa 0 ila Yanga SC hata wafanye nini ' Kinyota ' hiyo Siku imekaa vibaya sana Kwao na kama wasipokuwa makini kuna uwezekano mkubwa hata wakafungwa Goli 4 kama si 5 kabisa japo ambazo zinaonekana ' Kinujumu ' za zina uhakika ni hizo nilizozitaja hapo juu.

Haya sasa wana Simba SC Kazi Kwenu Kujitokeza kwa wingi mkaujaze Uwanja kwani Safari hii Yanga SC Watatafutana na Kuuana pia Uwanjani.
Hata mie nimeona hiyvo hivyo!
 
Wewe na waganga wako hao ni wajinga Sana na watu hovyo yani utabili mpira? Unazani dk 90 ni chache? Ety mechi ni ngumu timu yoyote yawezwa fungwa,,
 
Huna jipya
Sikumbuki ni lini nimewahi Kuleta UItabiri wangu hapa wa Kuihusu Mechi ya Simba na Yanga na 95% hadi 99.9999% usiwe sahihi kwani huwa nahakikishiwa na ' Mtaalam ' wangu Mmoja kutoka Pemba na mwingine kutokea Milima ya Uluguru Mkoani Morogoro ba bahati nzuri ni kwamba ' Wataalam ' wote hawa ni Wanawake ambao wapo vizuri ile mbaya katika ' Nujumu ' za Kimpira.

Kifupi tu ni kwamba Jumapili ya tarehe 12 July 2020 Yanga SC anaenda Kufungwa kati ya Goli 3 kwa 0 au 2 kwa 1 au 1 kwa 0 ila Yanga SC hata wafanye nini ' Kinyota ' hiyo Siku imekaa vibaya sana Kwao na kama wasipokuwa makini kuna uwezekano mkubwa hata wakafungwa Goli 4 kama si 5 kabisa japo ambazo zinaonekana ' Kinujumu ' za zina uhakika ni hizo nilizozitaja hapo juu.

Haya sasa wana Simba SC Kazi Kwenu Kujitokeza kwa wingi mkaujaze Uwanja kwani Safari hii Yanga SC Watatafutana na Kuuana pia Uwanjani.
 
4:1 huko

Back
Top Bottom