SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sio kwa mwaka huu, Hakuna dalili ya Simba kumfunga Yanga kwa namna yoyote. Ata kama baada ya tarehe 12 wakicheza tena mechi za kirafiki hakuna dalili ya Simba kufurukuta. Tusubiri tarehe 12. Mashabiki wa Simba ata wakienda na ku kujaza uwanja wote pasiwepo na mashabiki ata mmoja wa Yanga bado Yanga atashinda.Kinachotakiwa Simba wafanye wanavyo weza Yanga wasi ingie uwanjani maana ata iki ahirishwa Yanga atashinda labda ichezwe mwakani.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tulia dogo mikia mtaharisha kama bata huna uwezo wa kufunga yanga labda Hugo mhindi wako ahonge marefa
Nimekuaminia mkulungwa ingawa na mimi nilitabiri ushindi Wa 3 na kuendelea, nafikiri wale niliokuwa nabishana nao jana asubuhi wananiaminia huko waliko.Sikumbuki ni lini nimewahi Kuleta UItabiri wangu hapa wa Kuihusu Mechi ya Simba na Yanga na 95% hadi 99.9999% usiwe sahihi kwani huwa nahakikishiwa na ' Mtaalam ' wangu Mmoja kutoka Pemba na mwingine kutokea Milima ya Uluguru Mkoani Morogoro ba bahati nzuri ni kwamba ' Wataalam ' wote hawa ni Wanawake ambao wapo vizuri ile mbaya katika ' Nujumu ' za Kimpira.
Kifupi tu ni kwamba Jumapili ya tarehe 12 July 2020 Yanga SC anaenda Kufungwa kati ya Goli 3 kwa 0 au 2 kwa 1 au 1 kwa 0 ila Yanga SC hata wafanye nini ' Kinyota ' hiyo Siku imekaa vibaya sana Kwao na kama wasipokuwa makini kuna uwezekano mkubwa hata wakafungwa Goli 4 kama si 5 kabisa japo ambazo zinaonekana ' Kinujumu ' za zina uhakika ni hizo nilizozitaja hapo juu.
Haya sasa wana Simba SC Kazi Kwenu Kujitokeza kwa wingi mkaujaze Uwanja kwani Safari hii Yanga SC Watatafutana na Kuuana pia Uwanjani.
Dah hawa waganga nawapatajeSikumbuki ni lini nimewahi Kuleta UItabiri wangu hapa wa Kuihusu Mechi ya Simba na Yanga na 95% hadi 99.9999% usiwe sahihi kwani huwa nahakikishiwa na ' Mtaalam ' wangu Mmoja kutoka Pemba na mwingine kutokea Milima ya Uluguru Mkoani Morogoro ba bahati nzuri ni kwamba ' Wataalam ' wote hawa ni Wanawake ambao wapo vizuri ile mbaya katika ' Nujumu ' za Kimpira.
Kifupi tu ni kwamba Jumapili ya tarehe 12 July 2020 Yanga SC anaenda Kufungwa kati ya Goli 3 kwa 0 au 2 kwa 1 au 1 kwa 0 ila Yanga SC hata wafanye nini ' Kinyota ' hiyo Siku imekaa vibaya sana Kwao na kama wasipokuwa makini kuna uwezekano mkubwa hata wakafungwa Goli 4 kama si 5 kabisa japo ambazo zinaonekana ' Kinujumu ' za zina uhakika ni hizo nilizozitaja hapo juu.
Haya sasa wana Simba SC Kazi Kwenu Kujitokeza kwa wingi mkaujaze Uwanja kwani Safari hii Yanga SC Watatafutana na Kuuana pia Uwanjani.
Habari yako mkuuSio kwa mwaka huu, Hakuna dalili ya Simba kumfunga Yanga kwa namna yoyote. Ata kama baada ya tarehe 12 wakicheza tena mechi za kirafiki hakuna dalili ya Simba kufurukuta. Tusubiri tarehe 12. Mashabiki wa Simba ata wakienda na ku kujaza uwanja wote pasiwepo na mashabiki ata mmoja wa Yanga bado Yanga atashinda.Kinachotakiwa Simba wafanye wanavyo weza Yanga wasi ingie uwanjani maana ata iki ahirishwa Yanga atashinda labda ichezwe mwakani.
Wewe ni utopolo nimeona meseji zako ukimsifia Morison wakati ule ni kipemzi chenuMe shabiki wa Simba ila Mshana Jr aliandika kama wewe hivi mechi iliopita
Na tukaishia kufa cha nguruwe