GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sikumbuki ni lini nimewahi Kuleta UItabiri wangu hapa wa Kuihusu Mechi ya Simba na Yanga na 95% hadi 99.9999% usiwe sahihi kwani huwa nahakikishiwa na ' Mtaalam ' wangu Mmoja kutoka Pemba na mwingine kutokea Milima ya Uluguru Mkoani Morogoro ba bahati nzuri ni kwamba ' Wataalam ' wote hawa ni Wanawake ambao wapo vizuri ile mbaya katika ' Nujumu ' za Kimpira.
Kifupi tu ni kwamba Jumapili ya tarehe 12 July 2020 Yanga SC anaenda Kufungwa kati ya Goli 3 kwa 0 au 2 kwa 1 au 1 kwa 0 ila Yanga SC hata wafanye nini ' Kinyota ' hiyo Siku imekaa vibaya sana Kwao na kama wasipokuwa makini kuna uwezekano mkubwa hata wakafungwa Goli 4 kama si 5 kabisa japo ambazo zinaonekana ' Kinujumu ' za zina uhakika ni hizo nilizozitaja hapo juu.
Haya sasa wana Simba SC Kazi Kwenu Kujitokeza kwa wingi mkaujaze Uwanja kwani Safari hii Yanga SC Watatafutana na Kuuana pia Uwanjani.