Wakina dada na akina mama saladi hiyo vipi?

Nani umlishe maua?
Huyajuwi samani ya hayo mauwa ndio maan unasema hivyo Bibie laiti ungejuwa faida zake usingesema hivyo. Kweli jambo usililo lijuwa ni usiku wa giza.Pole sana Hayao mauwa uanyoyasema yana faida kuliko hata nyma ya ng'ombe katika afya ya mwilini mwako ukiyala.
 
Mi ningeionea huruma kuila kwa jinsi iliyopendeza. Unatamani uiangalie tu kama pambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…