Wakina dada na akina mama saladi hiyo vipi?

Wakina dada na akina mama saladi hiyo vipi?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
saladi-hiyo-jpg.296339


Sio mwili au chumba na vinavyo stahili mpangilio,hata salad nayo inahitaji mpangilio Ili itie hamu ya kula na kuongeza virutubisho mwilini
 

Attachments

  • Saladi hiyo.jpg
    Saladi hiyo.jpg
    80.1 KB · Views: 891
Nani umlishe maua?
Huyajuwi samani ya hayo mauwa ndio maan unasema hivyo Bibie laiti ungejuwa faida zake usingesema hivyo. Kweli jambo usililo lijuwa ni usiku wa giza.Pole sana Hayao mauwa uanyoyasema yana faida kuliko hata nyma ya ng'ombe katika afya ya mwilini mwako ukiyala.
 
Mi ningeionea huruma kuila kwa jinsi iliyopendeza. Unatamani uiangalie tu kama pambo
 
Back
Top Bottom