Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mkuu dini inaruhusu mbona[emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkuu we ndio unawamanage nini umejuaje kama nafasi zao zimejaa?
Duuh! Yaani nije PM kwako? MmhAsante sana lakini ata wewe waweza kuja .
[emoji3][emoji3][emoji3] ndo unazid kumuumizaaaWalio single wakucheki mkuu,kuna mwenzio analima haka kashamba kangu ndio anakamiliki
Unamkaribisha Pata Mapenzi(PM)Hata wewe unaweza kuja kwangu mkuu karibu usisubiri mpaka uanzwe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jj ndo sababuHao uliowataja hapo wote mbona kama nafasi zao zimejaa?[emoji23] [emoji23]
Mbna wengine tupo makaziniWadada wengi leo wapo ofisi ya mkuu wa mkoa
Polee mkuu Kirefu chake (PM)Hahaaa. Pole sana Mkuu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Asante sana lakini ata wewe waweza kuja .
Mbna wengine tupo makazini
Unataka kunitoa chambooo eeehWe ni mkali wao ndio maana nakukubali.
Karibu sana.
Ungenifataa mm Jilan yako nikupe machimbooo yaoooWe acha tu anataka toa Na Roho yangu kabisa.