Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Akuje tu ye anataka kuanzwaUnamkaribisha Pata Mapenzi(PM)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akuje tu ye anataka kuanzwaUnamkaribisha Pata Mapenzi(PM)
Sawa ngoja nikasome tena comment yako labda sijaelewaaaNa hamna sehem niliyosema wote mpo huko
Pambana Mpenzi(PM)Una Akili sana wewe.
Narespond vipiii sijaona pm yakoNimeshakuja kitambo kileed respond basi.
Paka Mapepe ,(PM)Kuliko kujazana kwa makonda leo bora waje Pombe Magufuri (PM) kwangu .
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]anapenda mitongozo ya kikeeeeAkuje tu ye anataka kuanzwa
Hahaha atasubiri sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]anapenda mitongozo ya kikeeee
Uje Pita Makole(PM)[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] niko way mama nipe hizo chimbo niwaibukie.
Hakuna namna[emoji3][emoji3][emoji3] ndo unazid kumuumizaaa
Madam s alisema tunawajua wanaume hata wakiwa nyuma ya keybord kama wallet zinasomaaaaHahaha atasubiri sana
Aiseee badala yeye aende kwenye pm zaooo ajaribu bahatiHakuna namna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisaMadam s alisema tunawajua wanaume hata wakiwa nyuma ya keybord kama wallet zinasomaaaa
Ukiona mwanaume hapati Pombe Magufuli(PM)
Watu wameshachungulia mpaka kwenye mifukooo
Jiamini wewe mwanaume acha uwoga[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mimi mwenyewe mbiti tena mbichi muulize mtoaa madaa nimeshamfata pm mpaka TsapUnataka kuliwazwa Na single mothers sio? Maana humu hamna binti
Mnazoom tu basi kwangu mmekosea.Madam s alisema tunawajua wanaume hata wakiwa nyuma ya keybord kama wallet zinasomaaaa
Ukiona mwanaume hapati Pombe Magufuli(PM)
Watu wameshachungulia mpaka kwenye mifukooo