MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,107
- 4,612
Mimi sinywagi chai nilishanga ambiwa na doctor bia moja ya ngano ni Sawa na chapati 5 mimi nimekunywa 2 hapo nimekula chapati 10Asubuhi yote hii[emoji849]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sinywagi chai nilishanga ambiwa na doctor bia moja ya ngano ni Sawa na chapati 5 mimi nimekunywa 2 hapo nimekula chapati 10Asubuhi yote hii[emoji849]
Kweli kabisa! Waanze kujirekebisha miandiko, waje kwa heshima na adabu. Na kuna wale text ya kwanza ya pili ya tatu anaanza kuomba namba chaa!Tena ukienda kuangalia threads zake unazimia kwa pressure
hapana hauwezi kupishana na nalo na kama likikupita lazima ligeuze faster tuWaooh ila naweza pishana na gari la mishahara
Umeanza uhuniHili ombi kwanini usiniombe mimi.
Kiboko cha bae hakiumi...Duh umemaua kunipost nitakuchapa
Haya Niko hapa dodoma chamwino somewhere called buigiri after mtumba Kama ukitoka ddoma town, karbu koroshoTatizo yule member wa kiume kidume ndiye aliyewakimbiza wadada mpaka kufunga pm yuleee mwenye uparaaa kibongeee wadada mpaka sasa hivi wanaogopa na wanapishana na magari ya mishahara.
Nyongeza jaman sijafunga pm aliyepo Dodoma anaipm Leo Nina nygeeee.
Uwe unakuja kusalimia then unaondoka
Mashaaalah Demiss miye
Na kuna wakaka pia wamefunga PM
Mfungue na nyie!.
NakujaTatizo yule member wa kiume kidume ndiye aliyewakimbiza wadada mpaka kufunga pm yuleee mwenye uparaaa kibongeee wadada mpaka sasa hivi wanaogopa na wanapishana na magari ya mishahara.
Nyongeza jaman sijafunga pm aliyepo Dodoma anaipm Leo Nina nygeeee.
Huu sasa ni uoga mkuuHahaha mimi muoga bwana nikijizoeza Tabia hiyo moyo wangu utakuja kukuangukia bure. .mwisho wa siku nikajikuta najiingiza katika league ya kukugombania
Wakisoma hapa wataelewa somoKweli kabisa! Waanze kujirekebisha miandiko, waje kwa heshima na adabu. Na kuna wale text ya kwanza ya pili ya tatu anaanza kuomba namba chaa!
hapana hauwezi kupishana na nalo na kama likikupita lazima ligeuze faster tu
Sasa hapa ndo mnazingua! Mnatunyima haki zetu bwana 😂😂😂Hahaha mimi sifungui ng'ooooo .... wengine huwa tuna changia maoni katika jukwaa la siasa... tunaogopa milli yetu kuokotwa ununio
Kiboko cha bae hakiumi...
Huu sasa ni uoga mkuu
Mtoto kipotable
English figure
Katoto hodari[emoji23]
Haya Niko hapa dodoma chamwino somewhere called buigiri after mtumba Kama ukitoka ddoma town, karbu korosho