Wakina dada wa JF acheni kufunga pm zenu

Haya Niko hapa dodoma chamwino somewhere called buigiri after mtumba Kama ukitoka ddoma town, karbu korosho
 
Nakuja
 
Kweli kabisa! Waanze kujirekebisha miandiko, waje kwa heshima na adabu. Na kuna wale text ya kwanza ya pili ya tatu anaanza kuomba namba chaa!
Wakisoma hapa wataelewa somo
 
Hahaha mimi sifungui ng'ooooo .... wengine huwa tuna changia maoni katika jukwaa la siasa... tunaogopa milli yetu kuokotwa ununio
Sasa hapa ndo mnazingua! Mnatunyima haki zetu bwana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwani wakikufata ndo watakubebea hapo hapo PM?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ