Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Demiss kwenye huo uzi umetoa siri ya kambi mbonaWakisoma hapa wataelewa somo![]()
Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani? - JamiiForums
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wa Jf kwamba hawapati PM kutoka kwa warembo wa Jf. Mfano Zero IQ na Da 'Vinci na wengine wengi wakilalamika kufungiwa vioo. Sasa niwaambie siri wanaume ambayo hamjui. Yani ukimtumia tu mwanamke PM hakujibu mpaka aende kuangalia unashiriki ktk...www.jamiiforums.com