We si ulituaga wewe kulikoniiiNaangalia kidole gumba cha mguu kikiwa kikubwa na Kina afya naruka naeπ
πππ sasa jina linaendana na nn kwa imagination Maana nilijikuta tu limekuja kichwaniJina lako tu haliendani na komoni ongeza hiyo kiatu sina tatizo na wewe labda tu kiwe kimekula vumbi hapo ndo tabu itapoanzia
π€£Kwema mkuuNyamwi255 njoo uone dole gumba au unataka kuona la mkono ?π€£π€£π€£
Mh ππMpangilio wa mavazi, uongeaji wake
UongoHapo kabla hajaongea
Maana kuongea nako Kuna point zake
Anaongea nini? Utajua huyu wa hovyo au Ana nafuu
Rangi ya nini labdaRangi
Viatu
Nywele
Kucha
Mavazi
πKalisema mara ooh situmii tena jf afu jana kamekuja
Naam
Hahahaha sis tulialikwa ila hatujaendaSijaenda kule tena sio level zangu pale πππ
Kulikoni tenaπ
Mwanangu anapenda ID yakoKulikoni tena
Mmmh aaah wapi usifichame bhana πππMwanangu anapenda ID yako
Saivi unaniona sana kwani...?Mmmh aaah wapi usifichame bhana πππ
Ila uvumilivu umekushinda huko yaani hii jeiefu itakuwa ina kileo sio kwa addiction hiyo
Ujage bhana alaaaa nishakuombea msamaha kwa modsππSaivi unaniona sana kwani...?
M nkiingia jf nafata ID Yako na y rere napenda kuangalia avatar Yako na ya reree hata mwanangu anapenda pia