Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
We si ulituaga wewe kulikoniiiNaangalia kidole gumba cha mguu kikiwa kikubwa na Kina afya naruka nae😋
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We si ulituaga wewe kulikoniiiNaangalia kidole gumba cha mguu kikiwa kikubwa na Kina afya naruka nae😋
😊😊😊 sasa jina linaendana na nn kwa imagination Maana nilijikuta tu limekuja kichwaniJina lako tu haliendani na komoni ongeza hiyo kiatu sina tatizo na wewe labda tu kiwe kimekula vumbi hapo ndo tabu itapoanzia
🤣Kwema mkuuNyamwi255 njoo uone dole gumba au unataka kuona la mkono ?🤣🤣🤣
Mh 😂😂Mpangilio wa mavazi, uongeaji wake
UongoHapo kabla hajaongea
Maana kuongea nako Kuna point zake
Anaongea nini? Utajua huyu wa hovyo au Ana nafuu
Rangi ya nini labdaRangi
Viatu
Nywele
Kucha
Mavazi
😘Kalisema mara ooh situmii tena jf afu jana kamekuja
Naam
Hahahaha sis tulialikwa ila hatujaendaSijaenda kule tena sio level zangu pale 😃😃😃
Kulikoni tena😘
Mwanangu anapenda ID yakoKulikoni tena
Mmmh aaah wapi usifichame bhana 😂😂😂Mwanangu anapenda ID yako
Saivi unaniona sana kwani...?Mmmh aaah wapi usifichame bhana 😂😂😂
Ila uvumilivu umekushinda huko yaani hii jeiefu itakuwa ina kileo sio kwa addiction hiyo
Ujage bhana alaaaa nishakuombea msamaha kwa mods😂😂Saivi unaniona sana kwani...?
M nkiingia jf nafata ID Yako na y rere napenda kuangalia avatar Yako na ya reree hata mwanangu anapenda pia