Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Ule uzi nimeingia nimecheka nimeishia kati nikasema ntarudi nikitulia niupitie nukta afta nukta 🤣🤣🤣
Nikasema Nkamu Uzi huu unampitaje kizembe hivi hadi page ya 30
Hatujaona sura ya Nkamu ndani ya Uzi.

Stori ganda lilichanika bwana Nkamu
Kaka wa watu nikikutana naye tena labda tutamsikiliza Roho Mtakatifu tubadilishane namba.
 
Sikuwepo humu km siku 5 hivi, kuna issue ilinikeep busy..!

Ila uzi unachekesha ntarudi nione yaliyoendelea…

Hiyo imalizie usinikwepe nkamu 🤣🤣🤣
Nimekumbuka kitu nimecheka au basi
 
Sikuwepo humu km siku 5 hivi, kuna issue ilinikeep busy..!

Ila uzi unachekesha ntarudi nione yaliyoendelea…

Hiyo imalizie usinikwepe nkamu 🤣🤣🤣
Nimekumbuka kitu nimecheka au basi
Ulikuwa wapi Nkamu?
Umekumbuka nini Nkamu?
Kwamba watu wasitaje bure jina la bwana Mungu wao kwenye mambo ya kijinga?😂
Sijui na Mimi nimekumbuka wapi😂
 
Sikuwepo humu km siku 5 hivi, kuna issue ilinikeep busy..!

Ila uzi unachekesha ntarudi nione yaliyoendelea…

Hiyo imalizie usinikwepe nkamu 🤣🤣🤣
Nimekumbuka kitu nimecheka au basi
Roho mtakatifu au Roho mtakakitu ???🤣🤣🤣
 
Hili la kudindisha pale ninapofanya conversation na mwanamke Huwa linanitesa sana.

Muda si mrefu nilikuwa na Binti mmoja mrembo nilienda kumcheki kwake hajisikii poa,wakati nasepa akanisindikiza...Asee barabara nzima nimedinda alafu mwanga wa taa za barabara plus taa za magari dah!!

Binti ana stori za hovyo yule!! Kila nikimtoa kwenye reli maana mwenzie naaibika road hadi natembea kama Nina kibyongo ili kuficha uvimbe huku chini,yeye analeta stori za hovyo tu!! Muhogo ulivimba karibu upasue zipu ya jeans.
Uko na kitu utafika mbali
 
Vitu vingi vinavyo andikwa hapa na ke, ni vile ambavyo Vinatokana na logical Will, Shida inakuja pale kukutana na Emotional will 😀

Emotional Will inadai vitu ambavyo wadada hawawezi kuvisema hapa, Sawa na ukimuuliza mwanaume anataka mke wa namna gani atakwambia sijui bikra, sijui ametulia, sijui mcha Mungu, but all the way usiku anavisia demu mwente trako...😀

Tupendane jamani, hayana miongozo haya
 
Hivi unanijua mpaka unaniambia nitafute hela what if ela nilizonazo zinanitosha sihitaji kutafuta nyingine
Penda kujikita kwenye mada dada
Nilijikita kwenye mada,ukaona kama mkanda,wallet na viatu ni fantasy,yaani ni kwako big deal,sasa kama vitu kama hivyo ni fantasy huoni kuna umuhimu kuishi?
 
Nilijikita kwenye mada,ukaona kama mkanda,wallet na viatu ni fantasy,yaani ni kwako big deal,sasa kama vitu kama hivyo ni fantasy huoni kuna umuhimu kuishi?
Nionyeshe kwenye uzi niliposema mkanda, viatu, wallet ni fantasy niko pale nasubiria
 
Good shoes takes you to good places. Viatu na mwonekano kiujumla kama mavazi, kichwani,usafi. Kama umevaa yale masendo ya 2000 karume yameandikwa mimaneno juu yana rangirangi aisee ni total turnoff.
 
Back
Top Bottom