wakina dada

wakina dada

muluvigwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
263
Reaction score
84
jaman mwanajamii mwenzenu nimekuja mwanza lakini sijampata wakunikaribisha nakuomba we dada nikaribishe nipate wakunihifadhi mji huu wawa2 jaman mwana jamii mwenzenu baridi
 
Nenda makoroboi, ila jiandae kesho kuamka ikiwa na gono. Mabinti wa pale ni sooo, wana gono kali linapenya hata ukijitwisha kondom nane.
 
An Excellent RoAd sentence
Written on National Highway:
Go Slow,
Unless U Have An Urgent Appointment With God!
 
mmmmh kama nihivyo nimegharisha wacha niwe mpole
 
jaman mwanajamii mwenzenu nimekuja mwanza lakini sijampata wakunikaribisha nakuomba we dada nikaribishe nipate wakunihifadhi mji huu wawa2 jaman mwana jamii mwenzenu baridi
Ndio ulilofatia huko Mwanza au kuna shughuli maalum ulokwendea? kama kuna kazi maalum ulokwendea basi fany akazi urudi nyumbani mwanamme husufiwa utulivu na heshma ya nafsi yake sio uzinzi....
 
Nenda makoroboi, ila jiandae kesho kuamka ikiwa na gono. Mabinti wa pale ni sooo, wana gono kali linapenya hata ukijitwisha kondom nane.
Hahahahahaha,na VILA pia utawapata!
 
jaman mwanajamii mwenzenu nimekuja mwanza lakini sijampata wakunikaribisha nakuomba we dada nikaribishe nipate wakunihifadhi mji huu wawa2 jaman mwana jamii mwenzenu baridi

Nenda makoroboi . . . . . . . . . . . Sijui vijana tuna matatizo eneo lipi?
 
Vila sio bei mbaya sana!lakini kama una hela ingia hapo Gold crest hotel!Makoroboi ni hadhi ya chini sana bora Deluxe!Karibu mwanza!Kama utakaa muda mrefu basi fika chuoni SAUT au CBE utapata couple za kudumu na zenye matumizi ya juu!
 
Back
Top Bottom