Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Uwepo wa mashine za kukunia nazi na tui la viwandani, limechangia wakina mama wamepoteza umahiri wa kuandaa baadhi ya vyakula.
Hawawezi tena kukuna nazi kwa kutumia mbuzi kiufupi haichekeshi, maana tunapoelekea tutapoteza utalii wa kiutamaduni unaopambanua mambo mbalimbali kuhusu tamaduni zetu.
Tumerithishwa, tuwarithishe.
Hawawezi tena kukuna nazi kwa kutumia mbuzi kiufupi haichekeshi, maana tunapoelekea tutapoteza utalii wa kiutamaduni unaopambanua mambo mbalimbali kuhusu tamaduni zetu.
Tumerithishwa, tuwarithishe.