Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Vitabu vyenye nadharia bila uwezo wa kivitendo?Hata kutwanga nafaka kama mahindi,mpunga,karanga,kukata kuni,kufua kwa mikono,hata kukata nyama na samaki vitakuwa kwenye vitabu kwa sababu ya ujio wa mashine-rahisi.Mbuzi za kukunia nazi zinachosha tu, acha urahisi upatikane.
Kama ni kutunza tamaduni, vitabu vitaandikwa.
Mkiwa mnakuna Nazi viuno vyenu hukaa na kuonekana vizuri sana.Just a mere joke,easy!😎Mbona hamkuacha magari muendelee kutembea kwa miguu? Au basi tu "mwanamke"asimamgwe!!!! Kazi ya mashine ni kurahisisha kazi, haina haja kujichosha.
Mkiwa mnakuna Nazi viuno vyenu hukaa na kuonekana vizuri sana.Just a mere joke,easy!Mbona hamkuacha magari muendelee kutembea kwa miguu? Au basi tu "mwanamke"asimamgwe!!!! Kazi ya mashine ni kurahisisha kazi, haina haja kujichosha.
Lengo ni nazi au processing nazi? Mbona wewe umepoteza umahiri wa kutumia simu ya batan?
Na processing Inatakiwa ili kupata ubora zaidi.Hata tukirudi kwenye mapenzi,tukijidai tunataka urahisi tutanunua midoli ya Elon Musk.Lengo ni nazi au processing nazi? Mbona wewe umepoteza umahiri wa kutumia simu ya batan?
Sasa tutafanyaje mkuu, maendeleo lazima yaje tu...Vitabu vyenye nadharia bila uwezo wa kivitendo?
Mkiwa mnakuna Nazi viuno vyenu hukaa na kuonekana vizuri sana.Just a mere joke,easy!
Na processing Inatakiwa ili kupata ubora zaidi.Hata tukirudi kwenye mapenzi,tukijidai tunataka urahisi tutanunua midoli ya Elon Musk.
Nusu kwa nusu.Sasa tutafanyaje mkuu, maendeleo lazima yaje tu...
Unaweza acha kutumia simu janja sasa hivi utume njiwa kama zamani kwa ajili ya utamaduni?
Tusishindane na nyakati.
Hata Mimi nimewaza hivyo hivyo, ila ukumpata ajuae kukuna na kufinyia kwa ndani viuno vitatu tu, wareno hao.Ila sijui nili waza nini , Mungu nifundishe kunyamaza.