Wakina mama hawakuni tena nazi kwa mkongojo

Teknolojia imewasaidia kuwapunguzia kazi ya kuchosha kama iyo mdau
 
Wanasemaa hzo zilipendwa ss hv wanaletewa zilizo tayari n mwendo wakukata kiboksi tu na kisu shwaaaaaaa,,wali Nazi huu hapa mezani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sehemu kama Tanzania yenye nazi kwa wingi sishauri mtu anunue nazi za paketi. N rahisi lakini inakuja na gharama yake: inaongezewa chemical za kuifanya isiharibike.
 
Ndugu mtoa Uzi umemaanisha kukuna naz au ni naz Ile ingneπŸ€”
 
Haina haja ya kukuna nazi, mguu bara, mguu pwani, inapendeza zaidi..
Wamekuja kivingine hawataki kukuma nazi, wanataka mashine zikune.

Jitahidi ukune mzee πŸ˜‚πŸ€£
 
Wanasemaa hzo zilipendwa ss hv wanaletewa zilizo tayari n mwendo wakukata kiboksi tu na kisu shwaaaaaaa,,wali Nazi huu hapa mezani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ndio maana wamekuwa wazembe kitandani na vitambi vyao
 
Vitabu vyenye nadharia bila uwezo wa kivitendo?Hata kutwanga nafaka kama mahindi,mpunga,karanga,kukata kuni,kufua kwa mikono,hata kukata nyama na samaki vitakuwa kwenye vitabu kwa sababu ya ujio wa mashine-rahisi.
NB; Maendeleo hayakwepeki.
Watoto mnawapeleka shule kwa magari au mabasi ya shule, wanacheza computer games na mnawalipia sessions za swimming classes halafu hypocritically mnataka akina mama waendelee kukuna nazi kwa kutumia kibao cha mbuzi huku technology za kurahisisha zoezi la ukunaji zikiwepo.
Muhimu ni kuwa nazi zikunwe, kama ilivyo kwenye kupika ambapo mafiga matatu na kuni havitumiki tena yote hayo ni maendeleo.
 
Nasubiri kusikia Mama amewezesha....oktoba tuna tik...
 
Mnaona tunafaidi mlitaka migongo ipate hitirafu kukalia hiyo mbuzi?!
Km unataka utalii wa kitamuduni ulindwe mbona hamtembei uchi makengele yenu yaonekane??
 
Siku hizi wanaibandua tu na kuweka kwenye brenda,dkk 1 tu tyr hawana muda wa kupoteza muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…