Wakina mama hawakuni tena nazi kwa mkongojo

Hapana mkuu mwanamke halisi wa kiafrica lazime akune mikuno yte ya Nazi ili lipatikane tui zito kwaajili ya madiko diko 😂😂😂😂😂😂
Ubaya ubwela 🤪🤪🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
 
utamaduni na ufe tu acha kazi zirahisishwe aisee
 
We jamaa huo ndio mkongojo?
 
Hata kutwanga mahindi imesahaulika
 
Kuna nazi za Azam zipo dukani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…