Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugumu wa maisha, kukataliwa na mwenziwe baba wa huyo mtoto, hizi nadhani ndo sababu kuuAkili zake anazijua mwenyewe, sijui alikua anapitia nini mpaka amfanyie hivyo mwanae.
Anaonekana ana majuto hata hajui anafanya nini.
Bila kusahau na wazazi kua wakali kwake na kumuona aliefeli maisha, mwenye laana kuzalia nyumbani, majirani na ndgu nao vivyo hivyo.Ugumu wa maisha, kukataliwa na mwenziwe baba wa huyo mtoto, hizi nadhani ndo sababu kuu
Kazi ya mizizi mikavu uliyompa wakati anatafuta huyo mtoto ndio imemchanganya akili😀😀😀😀
Hili nalo neno...mwanamke kiumbe jasiri na katili sana.kama waliongea na nyoka na wakaelewana hawawezi kuwa na huruma!
Ugumu wa maisha, kukataliwa na mwenziwe baba wa huyo mtoto, hizi nadhani ndo sababu kuu
Nimeumia sana, ila nikafarijika kwamba wamemuwahi kumuokoa kabla hajadhurika. Mtoto atakuja kuandika historia kwenye maisha yake, sio mara zote lakini watoto wa mazingira ya aina hii wanakuwa na vitu vya kipekee.Inahuzunisha sana, 😥😥
Bila kusahau na wazazi kua wakali kwake na kumuona aliefeli maisha, mwenye laana kuzalia nyumbani, majirani na ndgu nao vivyo hivyo.
Wakifika hiyo stage tunawalaumu kwa roho mbaya ila wametengenezwa hao mpaka kufikia hapo.
Uko kijijini unadhani uzazi wa mpango umewafikia sawa sawa. Huyo mama mzazi mwenyewe haamini kama kile kitendo amefanya yeye.Wakiambiwa watumie Uzazi wa mpango hawataki kufanya mapenzi kiholela tu
Pia kuna hii:Ugumu wa maisha, kukataliwa na mwenziwe baba wa huyo mtoto, hizi nadhani ndo sababu kuu
motherfanter!!!!
Kama mnyama asiye na akili anabeba ujauzito,anazaa,mpaka kutunza watoto peke yake kiugumu bila ya kujali aliyemtia mimba hakuwahi kumsaidia,sembuse wewe mwanadamu?,huyu ni mwanamke asiyefaa kwenye jamii,mwanamke huwa hatupi mtoto,hata ingekuwa kuna magumu ya kiasi gani,hapa hawezi kujitetea kwa lolote...Bila kusahau na wazazi kua wakali kwake na kumuona aliefeli maisha, mwenye laana kuzalia nyumbani, majirani na ndgu nao vivyo hivyo.
Wakifika hiyo stage tunawalaumu kwa roho mbaya ila wametengenezwa hao mpaka kufikia hapo.
braza acha tu!!! mpaka nimelia yaani!!!!,,,sasa nimegundua kwa nini ndoa siku izi hazidumu,kumbe sababu ya wanawake kutojali!! yaani mimi huu waka wa 3 nimepigwa butwaa!!! wife kasepa na kuniachia watoto wa 4,alaf wala hajali!!Kama mnyama asiye na akili anabeba ujauzito,anazaa,mpaka kutunza watoto peke yake kiugumu bila ya kujali aliyemtia mimba hakuwahi kumsaidia,sembuse wewe mwanadamu?,huyu ni mwanamke asiyefaa kwenye jamii,mwanamke huwa hatupi mtoto,hata ingekuwa kuna magumu ya kiasi gani,hapa hawezi kujitetea kwa lolote...