wakina mama wa yanga na As vita mkuje apaa

Aneel munawar

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
4,580
Reaction score
8,141
tarehe 16 mwezi uliopita sisi vijana wa simba tulimuoa dada yanga na akachagua kuvaa dera ya njano kama shera..basi kwakua dini yetu ya CAF inaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja tukaamua tumshirikishe mke wetu YANGA SC ili atoe ruhusa ya sisi kuongeza mke,basi mke wetu YANGA SC akatoa tamko kua mke mwenzie Aitwae AS VITA siku ya harusi ni sharti avae dera la njano na aolewe tarehe sawa na mke mwwnzie yanga..na pia honeymoon iwe siku moja..basi leo tarehe 16.3.2019 tumemuoa mke wetu wa pili AS VITA kama tulivomuoa YANGA tarehe 16.2.2019..ila tumesaidiwa na mdogo wetu LIPULI FC kumtia mimba YANGA..huku sisi tukimtia mimba AS VITA..ingawa Mke wetu YANGA ametoa unyumba kwa LIPULI,sisi tunamsamehe na arudi nyumbani akae na mke mwenzie VITA na wakuze mimba zao ndani ya madera yao ya njano kama maembe ya buguruni....na watazaa mapacha ndezii awaa...kwa pamoja tuseme aminaaaaaaa
 
Mmmmh!!!! Haya maneno inatakiwa uwe na moyo was chuma kuyasoma na kuyavumilia!!!
Lkn ahsante myama kwa ulichokifanya!!
 
Simba siyo chura Hahahahaha nasikia Zahera kawekwa ghetto na wakongo wenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni f

ni full shombo na kejeli kwa hawa chama cha wakulima wa maembe na ndizi waitwao YANGA
 
zaheea
Simba siyo chura Hahahahaha nasikia Zahera kawekwa ghetto na wakongo wenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
zahera alikula chips ya as vita kwa ahadi kua atakua kuwadi kwa kumtongoza simba na akamwambia vita apakage mundende au vumbi la kongo kabisa ili simba akija geto aliwe .asa maajabu ni kua kuingia geto vita kaliwa yeye ...ikabidi vumbi alilopaka akamalizie kwa zahera maana zahera kamletea balaaa vita
 
Kuna popoma mmoja anaitwa Matola aliwasifu sana hao wacheza ndombolo eti hawafungiki. Kapotea.
 
Back
Top Bottom