Wakinadada wengi wanapotoka kukata gogo hupoteza kujiamini na kumbukumbu

Wakinadada wengi wanapotoka kukata gogo hupoteza kujiamini na kumbukumbu

Mkuu huwa unajitega mida gani katika hivyo vyoo vya wanawake au unazuga kuchukua deiwaka ya kusafisha kwa muda
 
Mkuu huwa unajitega mida gani katika hivyo vyoo vya wanawake au unazuga kuchukua deiwaka ya kusafisha kwa muda
 
Habari wadau

katika utafiti niliofanya mdogo kwa kushirikisha wanawake wa rika zote kuanzia miaka 14 mpaka 45 katika katika mikoa ya arusha,kilimanjaro,mwanza na jiji lenu pendwa la dar es salaam,

Nimegundua wadada wengi wanapoingia/toka chooni kukata gogo hupoteza kujiamini na kuwa na wasiwasi mwingi na hupoteza kumbukumbu hata ukimuuliza swali dogo mfano ,dada hiki choo cha kike au kiume atakasirika na kumwaga matusi na asikupe jibu katika uchunguzi nilioufanya wa kutembelea vyoo vya public na vyoo vya nyumbani vyenye wapangaji wengi,na wenye kuishi familia ndani ya dakika kumi mtu anapoteza kumbukumbu

mpaka muda huu nawasilisha report yangu bado najiuliza kinachowatatiza wakina dada ni aibu ama kutojikubali

Karibuni sana wapendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, niliwahi kidogo kufanya utafiti usio rasmi kuhusu makimba na andiko lake nikawekamo humu. Unaweza kutazama na kuhusisha na nadharia yako; Lets talk about Haja Kubwa
 
Kiukweli Mimi nafurahia demu akiniambia nisindikize uani!
Basi huwa nakaa jirani ili nisikie mabomu mbagala! Yapo au
Jokes

DJ sepetu
 
Huu utafiti wako hautofautiani na PhD ya maganda ya korosho alofanya Sizonje... upupu mtupu
 
kila huwa najiuliza sana hasa nikikumbana na madada wakaliiii,hivi nae huyu anakunya?tena yale mavi ya kunuka kabisa? na huwa anajikamua uku amekunja sura yake km gogo ni lile gumu?
halafu huishia tu kutabasamu na kupoteza hayo mawazo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila huwa najiuliza sana hasa nikikumbana na madada wakaliiii,hivi nae huyu anakunya?tena yale mavi ya kunuka kabisa? na huwa anajikamua uku amekunja sura yake km gogo ni lile gumu?
halafu huishia tu kutabasamu na kupoteza hayo mawazo...

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu usishangae wanakunya sana tu na tena makimba yao yananuka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom