The Messenger
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,523
- 809
Mkuu, niliwahi kidogo kufanya utafiti usio rasmi kuhusu makimba na andiko lake nikawekamo humu. Unaweza kutazama na kuhusisha na nadharia yako; Lets talk about Haja KubwaHabari wadau
katika utafiti niliofanya mdogo kwa kushirikisha wanawake wa rika zote kuanzia miaka 14 mpaka 45 katika katika mikoa ya arusha,kilimanjaro,mwanza na jiji lenu pendwa la dar es salaam,
Nimegundua wadada wengi wanapoingia/toka chooni kukata gogo hupoteza kujiamini na kuwa na wasiwasi mwingi na hupoteza kumbukumbu hata ukimuuliza swali dogo mfano ,dada hiki choo cha kike au kiume atakasirika na kumwaga matusi na asikupe jibu katika uchunguzi nilioufanya wa kutembelea vyoo vya public na vyoo vya nyumbani vyenye wapangaji wengi,na wenye kuishi familia ndani ya dakika kumi mtu anapoteza kumbukumbu
mpaka muda huu nawasilisha report yangu bado najiuliza kinachowatatiza wakina dada ni aibu ama kutojikubali
Karibuni sana wapendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Likizo zimeanza mkuu! Wameshamaliza mitihaniMh!!!!!!!!!! Jamani mtuache hivyo????? Hili wimbi limetoka wapi???? Likizo zimeanza?????
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23]Nikitoka kukata gogo sipend kuongeleshwa, Huu utafiti wako umenigusa kiaina.
mkuu usishangae wanakunya sana tu na tena makimba yao yananuka sanakila huwa najiuliza sana hasa nikikumbana na madada wakaliiii,hivi nae huyu anakunya?tena yale mavi ya kunuka kabisa? na huwa anajikamua uku amekunja sura yake km gogo ni lile gumu?
halafu huishia tu kutabasamu na kupoteza hayo mawazo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole lkn ndo hali ya dunia!Eeehh