Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Badala ya kumtukana mgemuelimisha kumsaidia.
Ndugu mtoto ukishamlea ni sawa na mwanao wa kumzaa, ukiwa na akili timamu huwezi kumtamani.
Fikiria tu mtoto wa rafiki yako wa karibu unaweza kumtamani?
Umeshasema ukiwa na akili timamu, we unaona kuna akili timamu hapa?
 
Badala ya kumtukana mgemuelimisha kumsaidia.
Ndugu mtoto ukishamlea ni sawa na mwanao wa kumzaa, ukiwa na akili timamu huwezi kumtamani.
Fikiria tu mtoto wa rafiki yako wa karibu unaweza kumtamani?

Kwaninii nisimtamani mkuu si ndio undugu wenyewe huo shekh wangu
 

Kwani wamesharuhusu bhange itumike mchana.
 
Foolish
 
Kalye mpali ya nyoko......loshindo lwa so oko....kalye mana ya noko...
 
Ushauri:- member wa kike miliopo hapa,na mliopata bahati ya kusoma huu uzi,badala ya kuishia kutukana,chukulieni hili jambo serious. Hawa watu aina ya mleta mada,wapo wengi mno kwenye maisha yetu. Km umeolewa na una mtoto wa kike uliyezaa nje,kuwa mwangalifu sana na huyo mwanaume unayeishi naye. Wala usimwamini sana kwa sababu anaonyesha mapenzi makubwa,wengine wanatumia km njia ya kuficha huo uovu wao. Hiyo mbinu ndo hutumiwa hata magaidi.

Nawasisitiza hili ni Jambo kubwa sana,me nimefanyakazi kwenye taasisi moja na matukio ya aina hii nimekutana nayo mengi sana. Huu Uzi ni uthibitisho tu kuwa tunao watu wa aina hii. L
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…