FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hii mada ingawa kaileta kimitaani mitaani lakini ina ukweli ndani yake na si ya kubezwa.Mods kwa nini mnaacha upuuzi kama huu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mada ingawa kaileta kimitaani mitaani lakini ina ukweli ndani yake na si ya kubezwa.Mods kwa nini mnaacha upuuzi kama huu?
Hawa wanazalishwa bila kujuwa baba za watoto wao huwa ni washawasha, zamani tunawashauri wasikubali mwanamme yeyote kumfungulia kufuli (kumvulia chupi) hawakutuelewa, Sikh hizi wameamua hata kufuli hawatumii tena.
Utegemee nini akiwa ana binti yake anaishi nae? Kwa maana hiyo hata mashoga wengi hutokana na hawa "single mother". Si mabinti zao tu wanaoliwa na mabwana zao.
Mwanamke asiyejiheshimu na asiye na maana ndiye anaweza kujinasibisha kuwa ni "single mother". Hiyo ni tiketi ya maasi.
Something isn't right about u..!Hawa wanazalishwa bila kujuwa baba za watoto wao huwa ni washawasha, zamani tunawashauri wasikubali mwanamme yeyote kumfungulia kufuli (kumvulia chupi) hawakutuelewa, Sikh hizi wameamua hata kufuli hawatumii tena.
Utegemee nini akiwa ana binti yake anaishi nae? Kwa maana hiyo hata mashoga wengi hutokana na hawa "single mother". Si mabinti zao tu wanaoliwa na mabwana zao.
Mwanamke asiyejiheshimu na asiye na maana ndiye anaweza kujinasibisha kuwa ni "single mother". Hiyo ni tiketi ya maasi.
Hii yote kutafuta likes na koment?
Ukweli huwa mchungu.Something isn't right about u..!
Mwanao umemlea ana msambwanda kama huo wa avatar yako, alafu jamaa yako anaanza kuitafuna papuchi ya mwanao kama anavyokutafuna wewe!Nyooo!
Biblia inakukataza kulala na umbu lako(dada) na mama wa mkeo tu, hawa wengine tunajiongeza tu.Kwa Imani ya kikristo, Huwezi kulala na mtoto wa mkeo
Anza kunielezea kwa ufupi sanakila aliyesoma ulicho andika , ana uwezo wa kukuelezea tabia , jinsia , umri na wako🙈🙊💩...
Anza kunielezea kwa ufupi sana
Bado umri..ili nitoe majibuwe ni mtanzania mwenye jinsia ya kiume mpenda pochi manyoya na asiye taraji kuoa💑 mke mwema...😊😀😁😂😂 kwa kifupi sana.
Ukweli huwa mchungu.
Watu wanafikiri u "single mother" ni sifa njema. Hapana. Hiyo ni tiketi ya uasherati na uzinzi.
Binti umlee ndani ya nyumba ambayo kila anaeingia anaambiwa "mwamkie baba'ko", utegemee nini? Na yeye anaiga kuwa kazi ya mababa ni kuwapanda tu, mbona mama anapandwa na kila baba!
Kwa maana hiyo hata watoto wa kiume wanaolelewa na hao wanaojiita "single mother" mwishowe huwaiga tu mama zao kwa kupandwa na "mababa", matokeo ni ushoga tu.