Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

4



Katika haya yote kubwa ni mmomonyoko wa maadili, However wanawake tunatakiwa kubeba lawama katika hili, kwanza “most” of men hawapendi watoto (hawawezi kukiri) So watoto ni jukumu la mwanamke, Jitunze pata mume mzae muwajibike pamoja kulea watoto, Hakuna ubaya wowote katika kulea watoto katika complete family, kwanini tuopt fasheni nyingine ambayo imeprove tofauti? Usingo mother/father uwe kwa sababu ya majaliwa (kifo)

Waliotengeneza familia/ndoa kuwa taasisi-msingi kushinda taasisi zote hawakuwa wajinga, mkiwa ndoani/familiani mtawajibika tu hata kama hamtaki! Hence ustawi bora wa watoto.

Wanawake tukemeane kwenye hili, katika hili nisisikie adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie blah blah . Kijana wa watu hajakaa vizuri umeshamzalia , alikwambia anataka mtoto????

Mwenyezi Mungu anisamehe kama nimeongelea wanawake wenzangu kwa ukali.

Jamii itageuka ya ajabu na hapa bado!
Shemela binti kiziwi naku Pinga hapo kwenye wanaume hawa pendi watoto.

Kwangu mimi watoto ndio marafiki zangu wa ukweli, nina mdogo wangu wa mwisho.
she is my everything.
 
Back
Top Bottom