Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

ndugu hawoni mambo mengine kuwa yana umuhimu,..kila mara wao wanaulizia watoto tu,...
Hawaulizi hata je una furaha ? Au aulize taratibu hata akutumie tu meseji kuwa shida nini akusikilize..
Ila wanangoja mpo kwenye umati wa watu " we unaolewa lini? Wenzio wote wanazaa we vipi?
 
Hawaulizi hata je una furaha ? Au aulize taratibu hata akutumie tu meseji kuwa shida nini akusikilize..
Ila wanangoja mpo kwenye umati wa watu " we unaolewa lini? Wenzio wote wanazaa we vipi?
Kwa Africa watoto ndio ufahari wao,...ndo sababu unaona watu wakijisifia kuwa na watoto wengi, lakini ukiangalia mazingira ya hao watoto, utawaonea huruma,.. watoto utadhani machokoraa😥😥
 
Kuna jibu moja nalisubiri Kuliona hapa ili nami niamue kufanya Maamuzi ya Kishalubela (Kikatili) au ya Kiimani (Kiupendo)
 
Hakuna hasara, faida ni kuoa mwanamke ambaye tayari ana experience ya kulea mtoto au watoto.

giphy.gif
 
We Kuna mtu kakukamata si bure🥴
Oa tu mkuu, sikuhizi hakupo kwenye uafadhali....ni vilio tu

Ila wa kwangu mi nampenda kweli nitampenda sikuzote....hatojutia daima.
Ila nikikasirika awe anatoka nje kwa muda,maana napiga vichwa😡
 
Sikujui Dada ila kwa Uandishi wako huu na Uzoefu wangu Tukuka wa Kubandua unaonekana uko Sexy sana na unajua Kubanduana vile vile. Heko Kwake uliyenae au kama huna basi si vibaya tukakutana Maji Madogo (PM) ili tuyajenge ili tukiwa pamoja uweze Kuizalia JamiiForums akina GENTAMYCINE wengi tu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbavu zangu
Yaan kichwa chako na changu viungane🤣🤣🙌

Anyways...ninae mume, surely am into him.
 
Faida ya Nguvu kazi .watoto wa mwanamke wakikuwa watasaidia kushika jembe msimu wakilimo utakopo fika. Tena ikiwezakana asiwe na mmoja awe na hata wa nne.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbavu zangu
Yaan kichwa chako na changu viungane🤣🤣🙌

Anyways...ninae mume, surely am into him.
Akhsante kwa Mrejesho wako Dada na ningeshangaa sana kama Mrembo Wewe 'unayeninyegeza' hapa JF ukose Mume.
 
Kwa kweli nimesikitika sana
Nimekutana na huyu mama akiwa na mtoto wake wa miaka sita akiwa anampeleka shule😭😭

Mwanaume aliyembaka alishakimbia kitambo sana
(nimetumia rape nikiwa na maana huwezi kufanya sex na binti wa miaka 14 mkiwa wote mentally fit.. Huo ni ubakaji)

Ndio hivyo sasa..😭😭
 
Back
Top Bottom