sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 5,203
- 13,364
Ww tunakuacha duniani mwenyewe maana mbinguni huendi na jehanamu huendi shetani mwenyewe anakuogopa
Mbinguni na jehana!u ndio wapi huko,? Kuna ndugu yako amewahi kwenda? Alirudi na ujumbe gani?
Shetani ni nani?