Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Sikushauri hata kidogo kuowa mwanamke mwenye mtoto na kaa mbali kabisaaa labda kama baba hayupo kwenye hii dunia hapo sawa kabisaaa go ahead ila kama yupo na wanawasiliana then hapo ni uwamuzi wako mwenyewe ila kuna stress nyingi sana tena sanaa sio rahisi kabisaa hata kidogo
 
Bado nakusanya data/mawazo/ushauri kabla ya kufanya analysis na ku' finalize decision mkuu!

Sikushauri hata kidogo kuowa mwanamke mwenye mtoto na kaa mbali kabisaaa labda kama baba hayupo kwenye hii dunia hapo sawa kabisaaa go ahead ila kama yupo na wanawasiliana then hapo ni uwamuzi wako mwenyewe ila kuna stress nyingi sana tena sanaa sio rahisi kabisaa hata kidogo
 
Kuna mwenzako alikuja huku kuomba ushauri alizaa na singlo mother watoto kama wa2 hivi ikatokea siku yule jamaa wa1 akaja akachinjiwa jogoo la pasaka...
Tena ndio lilikuwa jogoo lambegu aisee
 
Hapo umenena we single mom tunaelewa uchungu wa kuachwa na thamani ya penzi hutojuta ili mradi upate yule ambae amemsamehe mzaz mwenzake usiwe nae wkt moyo wako uko moto
 
Nahitaji single mother umri 30 hadi 50,dini yoyote aje tuyajenge,mm ni single baba nina wtt 4,nimetalakiana na mwenzang kisheria.naishi kwang mwanagati dsm,ninajishughurisha na biashara.
 
Una watoto wanne bado unataka kuoa!?? Huoni km utaongeza stress tu!?? Na hao watoto wako huyo wa kwanza na wa pili wana umri gani!??
 
Una watoto wanne bado unataka kuoa!?? Huoni km utaongeza stress tu!?? Na hao watoto wako huyo wa kwanza na wa pili wana umri gani!??
Umri wangu 39yrs bado mwili unahitaji huduma hivyo sitaki kuzini inabidi nioe single mama nikiamini umri kuanzia 30yrs tayari ana mtoto au kama hajaaliwa kupata mtt itakuwa vyema pia ila awe anajitambua.
 
Ndugu yangu kwa umri wako huna haja ya kutafuta single mother, mbona mabinti wapo wwngi sana..
 
Wekeza nguvu nyingi kwa watoto,huku ukitafuta bi mdogo mwenye utulivu
 
Back
Top Bottom