Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,075
- 6,774
utakuwa huru ukiamua kuwa huru.. pia kabla ya kuoa single mama kama unavyoita jaribu kuchunguza sababu iliyopelekea yeye kuwa single, pili mawasiliano yake na mzazi mwenzie yakoje? nimeona wadada wamezaa lakini labda kwa bahati mbaya wanakuja kugundua mwanaume aliyezaa nae siyo type yake huaza fisa na wakiangalia umri bado upo ujitengenezea mazingira ya kuwa hivyo ili tu wapate wale wanaodhani ni type yao... na wapo kweli waliotelekezwa .. na wapo waliona kwa mwenendo huu na huyu mtu hapana ni kitanzi hichi inabidi ajisepee tu sababu hata kutunza mtoto alishindwa,... na wapo waliodanganywa na kumsaliti mzazi mwenzie na kuenda huko na kukuta ndivyo sivyo na kuamua kurudi kwa mzazi mwenzie akamakatalia.... na wapo ambao waliamua tu kuzaa kwa kutaka sura nzuri... na wapo uteen ulisababisha usingle ...
sasa ukishajua sababu iliyompelekea kuwa hivyo basi hakuna haja ya kuogopa wapo single mama walioumizwa na wanahitaji mapenzi tena ya dhati, na ni wake bora na wanaojitambua muhimu ni mkubaliane namna ya kuhandle hiyo situation...
kama unapesa utapata unayemtaka
kabisa .. na umesema vyemaKwakuwa tayari ana hofu nashauri asioe kabisa mtu mwenye mtoto. Atakuja kumuumiza ndani ya ndoa kama ujuavyo ndoa zina ups and down.
Atakiwa hajiamini, kitu kidogo wakipishana atasema ni kwa sababu ni hivi ama vile (in Roma&Stamina's voice).
Kulea mtoto mwenyewe yataka moyo strong! Kujitoa sadaka! Kuvumilia! Maana jamii itakusimanga tu utake usitake bila kujua ukweli uliojificha. Tena mtu akizaa na wewe mkashindana ataoa nakukutangaza mabaya yasio exist.
Kupenda huwa hakuchagui unaweza kuzama kwa single mothers. Tatizo si wanawake tatizo ni nani umempenda...Ya nini kupoteza muda kufanya research wakati wanawake wasio na watoto wapo dahali
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wana tabia ili amtunze mtoto anataka uwe na mazoea naye, akupigie simu hovyo, akuite sehemu anvyojisikia mahali popote uende, aje kwako akae na akikuta mtu akuulize huyu ni nani unamfundisha mwanangu umalaya.kabisa .. na umesema vyema
Swali la msingi kwann ukubali kuzalishwa ukiwa nyumban?utakuwa huru ukiamua kuwa huru.. pia kabla ya kuoa single mama kama unavyoita jaribu kuchunguza sababu iliyopelekea yeye kuwa single, pili mawasiliano yake na mzazi mwenzie yakoje? nimeona wadada wamezaa lakini labda kwa bahati mbaya wanakuja kugundua mwanaume aliyezaa nae siyo type yake huaza fisa na wakiangalia umri bado upo ujitengenezea mazingira ya kuwa hivyo ili tu wapate wale wanaodhani ni type yao... na wapo kweli waliotelekezwa .. na wapo waliona kwa mwenendo huu na huyu mtu hapana ni kitanzi hichi inabidi ajisepee tu sababu hata kutunza mtoto alishindwa,... na wapo waliodanganywa na kumsaliti mzazi mwenzie na kuenda huko na kukuta ndivyo sivyo na kuamua kurudi kwa mzazi mwenzie akamakatalia.... na wapo ambao waliamua tu kuzaa kwa kutaka sura nzuri... na wapo uteen ulisababisha usingle ...
sasa ukishajua sababu iliyompelekea kuwa hivyo basi hakuna haja ya kuogopa wapo single mama walioumizwa na wanahitaji mapenzi tena ya dhati, na ni wake bora na wanaojitambua muhimu ni mkubaliane namna ya kuhandle hiyo situation...
kama unapesa utapata unayemtaka
Unajua nn bro hawaridhiki hwa watu unakuta mtu anampenz anayempenda kwa dhati lkn ananyapianyapia hela za mwanaume mwenye nazo bila kujua siku moja mmbw yanaweza kumnyookea mpenz wke wa zaman aliyekuwa amepangiwa na Mungu mwisho wa sku anapgwa mimba anaachwa na mtoto n kuchakalia tu kwaohehehe mkuu kwanini
mapenzi baba mapenzi unampa yote .... kuna ndugu yangu alitiwa mimba na mrombo mmoja purukushani za malezi akamuuliza "NANI ALIKUAMBIA UNIPE CHA MIMBA" hii kauli ilinifanya niwaze kuna sehemu ya kuweka cha mimba na sehemu nyingine siyo ya mimba wanaume ninyi ni nyokoSwali la msingi kwann ukubali kuzalishwa ukiwa nyumban?
pata muda utufundishe aisee.. hawa viumbe wabaya sanaHalafu wana tabia ili amtunze mtoto anataka uwe na mazoea naye, akupigie simu hovyo, akuite sehemu anvyojisikia mahali popote uende, aje kwako akae na akikuta mtu akuulize huyu ni nani unamfundisha mwanangu umalaya.
Bila hivyo hatunzi mtoto ukiwa na msimamo haunzi mtoto, ukimpa atatangaza wanawake waliozalishwa wanakumbushia msioe ( nkiwa na mood ntaanzisha uzi kulichambua hili haha from experience)
pata muda utufundishe aisee.. hawa viumbe wabaya sana
Dodo mm nakushauri usije ukajitia kitanzi kuoa single mother utakuja kujuta. Hao acha waolewe na waliowaamini mpaka kuwazalia.nashukuru brother lakin unadhani kwanini kuna wimbi kubwa la single mother
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] "kama una pesa utampata unae mtaka"Dada umenishinda akili.utakuwa huru ukiamua kuwa huru.. pia kabla ya kuoa single mama kama unavyoita jaribu kuchunguza sababu iliyopelekea yeye kuwa single, pili mawasiliano yake na mzazi mwenzie yakoje? nimeona wadada wamezaa lakini labda kwa bahati mbaya wanakuja kugundua mwanaume aliyezaa nae siyo type yake huaza fisa na wakiangalia umri bado upo ujitengenezea mazingira ya kuwa hivyo ili tu wapate wale wanaodhani ni type yao... na wapo kweli waliotelekezwa .. na wapo waliona kwa mwenendo huu na huyu mtu hapana ni kitanzi hichi inabidi ajisepee tu sababu hata kutunza mtoto alishindwa,... na wapo waliodanganywa na kumsaliti mzazi mwenzie na kuenda huko na kukuta ndivyo sivyo na kuamua kurudi kwa mzazi mwenzie akamakatalia.... na wapo ambao waliamua tu kuzaa kwa kutaka sura nzuri... na wapo uteen ulisababisha usingle ...
sasa ukishajua sababu iliyompelekea kuwa hivyo basi hakuna haja ya kuogopa wapo single mama walioumizwa na wanahitaji mapenzi tena ya dhati, na ni wake bora na wanaojitambua muhimu ni mkubaliane namna ya kuhandle hiyo situation...
kama unapesa utapata unayemtaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mapenzi baba mapenzi unampa yote .... kuna ndugu yangu alitiwa mimba na mrombo mmoja purukushani za malezi akamuuliza "NANI ALIKUAMBIA UNIPE CHA MIMBA" hii kauli ilinifanya niwaze kuna sehemu ya kuweka cha mimba na sehemu nyingine siyo ya mimba wanaume ninyi ni nyoko
Hapo mwisho ndipo nilipasubiri muda mrefu... Kama ana ngawira...hahahahaaaa somo kubwa.... Kuwa na pesa au kuwa na mgodi ndio silaha...utakuwa huru ukiamua kuwa huru.. pia kabla ya kuoa single mama kama unavyoita jaribu kuchunguza sababu iliyopelekea yeye kuwa single, pili mawasiliano yake na mzazi mwenzie yakoje? nimeona wadada wamezaa lakini labda kwa bahati mbaya wanakuja kugundua mwanaume aliyezaa nae siyo type yake huaza fisa na wakiangalia umri bado upo ujitengenezea mazingira ya kuwa hivyo ili tu wapate wale wanaodhani ni type yao... na wapo kweli waliotelekezwa .. na wapo waliona kwa mwenendo huu na huyu mtu hapana ni kitanzi hichi inabidi ajisepee tu sababu hata kutunza mtoto alishindwa,... na wapo waliodanganywa na kumsaliti mzazi mwenzie na kuenda huko na kukuta ndivyo sivyo na kuamua kurudi kwa mzazi mwenzie akamakatalia.... na wapo ambao waliamua tu kuzaa kwa kutaka sura nzuri... na wapo uteen ulisababisha usingle ...
sasa ukishajua sababu iliyompelekea kuwa hivyo basi hakuna haja ya kuogopa wapo single mama walioumizwa na wanahitaji mapenzi tena ya dhati, na ni wake bora na wanaojitambua muhimu ni mkubaliane namna ya kuhandle hiyo situation...
kama unapesa utapata unayemtaka
kama hata huyo single anaweza kupa huyo mtoto na mzazi mwenzie wakapigwa marufuku kuleta milonjo yake hapo na mtoto automatic akakuona wewe ni bora kuliko baba yake mzaziHapo mwisho ndipo nilipasubiri muda mrefu... Kama ana ngawira...hahahahaaaa somo kubwa.... Kuwa na pesa au kuwa na mgodi ndio silaha...
Sent using Jamii Forums mobile app
ha haha ndiyo ukweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] "kama una pesa utampata unae mtaka"Dada umenishinda akili.
young kilimanjaro
hapa umenifungua sana upeoDodo mm nakushauri usije ukajitia kitanzi kuoa single mother utakuja kujuta. Hao acha waolewe na waliowaamini mpaka kuwazalia.
Asilimia kubwa ya masingle mothers walitegesha mimba halafu walikuwa selective sana sasa akiona anadate na mkaka mwenyevijisent kidogo ndio anamtegeshea mimba..
Unatakiwa ujiulize mwenyew kama ww hujazaa nje kwann uoe mwanamke aliyezalishwa na wenzako?
Na kwann aliyemzalisha hajamuoa?