HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Mimi natamani kuwa na single mother namhitaji sana kama upo ni pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TehTumemisika wote
Maamuzi mengi yanahitaji moyo sana.Fuata moyo wako tu kuna msela mmoja ametoka UDSM amepangiwa kazi Tanga, ofisini alikutana na mdada single mother mwenye watoto 4 na alimuoa kanisani, kijana alikuwa 23 mama 34. Hakuna formula kwenye mapenzi.
hello guys,naomba nieleweshwe mazuri na mabaya ya kuwa katika mahusiano na single mother,nataka nijilipue mahali.
u have a point, lakin vp mambo ya kupasha kiporoWasiwasi wako tuuu tena kuna baadhi ya wanawake wakisha zaa ndo wanakua na akili zaidiaana anajua nikizingua naachwa na ntaachwa hadi Lini na watoto anatulia maisha enyewe ya utawala huu.
Sent using Jamii Forums mobile app