Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

luckyline,
Bado hujanishawishi bro,hili ninalofanya sijakurupuka! Utafiti wangu wa ni wa kina,wewe endelea na hao na mimi na single mother wangu. Ukiangalia hapahapa J.F Matukio mengi ni ya waliopo kwenye ndoa na hao mabikira wenu mi sihitaji hata kuwasikia...
 
Hakuna kitu kama hicho! Na wala sitajaribu....Watu wengi wameanza maisha upya na wengine kufa kwa presha,Sitaki kupoteza muda nimegundua njia yangu binafsi ya maisha yangu.
Ushauri nzuri ni vigumu kuupata, na ukiupata vigumu kuuzingatia, na ukiuzingatia ni kidogo tu...
 
Fata moyo wako japo na single mother nae anastahili mapenzi na kuolewa pia.
 
Hello guys, naomba nieleweshwe mazuri na mabaya ya kuwa katika mahusiano na Single Mother, nataka nijilipue mahali.
 
Back
Top Bottom