Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ukimpata single mother aliyetulia ni raha mnoo... Ana kaa wiki K haijaguswa..
 
Ahahahahaha braza Google anajua vingi...niliipata Google hiyo
 
Hahaha ni kweli hata Mimi ilinitokea mwaka Jana kwenye mahafali ya binamu yangu kuna mdada mzuri alikua na mwanae basi Mimi nilimbeba muda wote nikawanamjali sana nilipo omba mzigo rahisi kama ganda la ndizi
 
Na mimi nawalaumu sana single mothers wanaokubali kuwaingiza watoto wao katikati ya mapenzi yao yasio na kichwa wala miguu.

Mwisho mtoto anakuona mwenye tabia mbaya za umalaya, kumbe ulikuwa kweli umempenda jamaa, yeye alikuwa anakutumia tu.

Usimuingize mtoto katikati ya mapenzi yenu, hadi hapo unapoona kuwa mpo level nyingine.
 
Bado naendelea kuwakubali Ma single mother kutokana na ushirikiano mkubwa wanaounesha kwangu haswa katika swala la mahusiano haswa ktk kipindi hiki kigumu cha ukata. Naomba muendelee na moyo huohuo maana hili Rika lingine la Dotcom limeshaharibu!

Nirudi kwenye topic, nimefikia uamuzi wa kuchukua single mother mmoja na kuanza nae maisha. Nimewachuja wamebaki wawili tu, ila hawa wananipa mtihani.

Mmoja ana watoto 2 wa baba tofauti mwingine ana watoto 3 wote baba mmoja. Yule wa mtoto mmoja nishapiga chini msumbufu.

Ahsanteni naomba ushirikiano wenu....
 
Mwenye watoto 3 anaonesha kutulia zaidi. Mengine fanya maamuzi mwrnyewe... Hatuwafahamu hao watu kama unavyowafahamu
 
Mwenye watoto 3 anaonesha kutulia zaidi. Mengine fanya maamuzi mwrnyewe... Hatuwafahamu hao watu kama unavyowafahamu
Kuzaa baba tofauti kwa mwanamke si kuwa hajatulia ila huwezi jua ni masahibu gani yalimkuta, ikawa hivyo. Wengine wanakuwa wametulia.
 
Back
Top Bottom