Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ubavu huo sidhani kama anaoChukua wote wawili Mkuu. Kila la heri katika malezi wa watoto watano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubavu huo sidhani kama anaoChukua wote wawili Mkuu. Kila la heri katika malezi wa watoto watano.
Hakuna kitu kama hicho! Na wala sitajaribu....Watu wengi wameanza maisha upya na wengine kufa kwa presha,Sitaki kupoteza muda nimegundua njia yangu binafsi ya maisha yangu.Kwanini usintengeneze single mother wako then umuoe
Too late Bro...unachelewa,Uhondo wa ngoma uingie ucheze.usithubutu hata kua na mahusiano na ma.singlemother,sio kuoa tu
Ushauri nzuri ni vigumu kuupata, na ukiupata vigumu kuuzingatia, na ukiuzingatia ni kidogo tu...Hakuna kitu kama hicho! Na wala sitajaribu....Watu wengi wameanza maisha upya na wengine kufa kwa presha,Sitaki kupoteza muda nimegundua njia yangu binafsi ya maisha yangu.
Nimefurahi jinsi unavyo dance according to your tune! Fuata unachoona kinakupa furaha! Hongera sana mkuuToo late Bro...unachelewa,Uhondo wa ngoma uingie ucheze.
Kwani akioa hao kuna tatizo ilihali yeye mwenyewe karidhika nao?Kwanini usintengeneze single mother wako then umuoe
Hakuna tatizo alileta suala humu ndiyo maana watu wakwa wanajaribu kumpa mawazo mbadala...Kwani akioa hao kuna tatizo ilihali yeye mwenyewe karidhika nao?
bila shaka na ww ni singlemother,..unatetea ujinga wakoNimefurahi jinsi unavyo dance according to your tune! Fuata unachoona kinakupa furaha! Hongera sana mkuu
Am a man mkuu,kwani nini kosa la single mother? yeye sio binadam? mtu yoyote ana uhuru wa kumpenda yoyote,wangapi sio single mothers na bado wameshindwa kukidhi mapenzi ya wapenzi wao?bila shaka na ww ni singlemother,..unatetea ujinga wako
Exactly. Kuna wengine si wakweli anaogopa utamwona hajatulia, na kwamaana hiyo anakuwa hajiamini.unaweza ukakuta hata huyo wa watoto 3 ni wa baba tofauti... we angalia tabia tu mkuu..!
Hata mi nahisi huyu ananifaa zaidi!Huyo mwenye watoto watatu anafaa zaidi.