Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

How if you heard a man with one hand/foot...ni picha gani inayo zunguuka ndani ya Ubongo/kichwa chako...!?

Sawasawa tu na unaposikia Mwanaume kaachiwa mtoto na Mzazi mwenzie.

Ni tabu na karaha katika malezi ukiwa peke yako.

Single mother, imekuwa mada kuu katika maisha, yote ni kwa sababu ya Wanawake kuwa kimbelembele katika kung'ang'ania Watoto/Mtoto.

Na lengo kubwa, ni kuamini kuwa Mwanaume atapeleka pesa ya Matunzo kwa mtoto, hivyo nae Vichenji kumsaidia angalau kusogeza siku.

Tabu/kadhia/madhara ya malezi haya, waulize walio lelewa na Mzazi mmoja..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni baba wa mtoto atapoanza kija kunuona mtoto mara kwa mara, na vizawadi vya hapa na pale kwa mtoto na mamake, simu na sms kuwajulia hali....kuna uwezekano mkubwa wa kupasha kipolo....
 
Fuata moyo wako tu kuna msela mmoja ametoka UDSM amepangiwa kazi Tanga, ofisini alikutana na mdada single mother mwenye watoto 4 na alimuoa kanisani, kijana alikuwa 23 mama 34. Hakuna formula kwenye mapenzi.
Maamuzi mengi yanahitaji moyo sana.
 
Siku ukikuta txt ya baba watoto wake inayosema "nakuja kumsalimu G ila ntalala huko" hapo itabidi ujipange mkuu..hawa viumbe huwa hawasahau machimbo yao..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hello guys,naomba nieleweshwe mazuri na mabaya ya kuwa katika mahusiano na single mother,nataka nijilipue mahali.

Single mother hawapendi ujinga, kama ni ujinga angeendelea kuishi n.a. yule aliyemzalisha, single mother hapendi wanaume wakongo, wanaopenda vitu vya bure, single mother anapenda mtu mwenye upendo siyo longolongo. Commitment is a must
 
Moja kwa moja niende kwenye mada!

Baada ya kushindwana na mzazi mwenza adi kufikia hatua ya kutafuta ustarabu wangu na kuludi maisha ya ubachela, sasa nimeamua kuanza maisha mapya na binti fulani ambaye niliwai kufanya nae kazi siku za nyuma, aliteswa na mzazi mwenzie akatelekezwa kwasasa anapambana kivyake na mwanae.

Sasa huyu binti alikua kama rafiki tu lakini kuna kitu nimeona ndani yake

1) Anajua kutafuta maisha
2) Hana mambo ya usistaduu
3) Ni mrembo na anajielewa sana

Changamoto kubwa inayonitatiza kwake ni hile picha aliyonayo kichwani kwake maana alichukia kabisa swala la mahusiano na nimetumia nguvu kubwa kumludisha kwenye ulimwengu huo.

Hili lina tatizo au ni faida kwakua kapitia hali flani ya matatizo labda atakua mama bora wa familia yangu?
 
Habari wakuu,

Umri wangu ni miaka 27 na bado sijaoa wala sijafikiria kuoa nataka nianze kutafuta mwenza nikifika 30years, lakini hapa kilichonishtua ni wimbi kubwa la kina single mothers wadada kwa wamama wengi sana mitaani wana watoto na hawakai na wazazi wenza, asilimia 75 niliokutana nao hadi sasa ni single mothers, unakuta binti mrembo kafungasha rangi nzuri sura nzuri kidini mnaendana lakini kazalishwa na hana mume.

Mbaya zaidi hata ex wangu aliyenipaga kibuti alivyofika chuo kikuu sahivi na yeye ni single mother, yaani nimechanganyikiwa sijui pa kushika yaani naogopa sana kuoa single mother nahisi sitakuwa huru.

Mnishauri jamani namna ya kuishi na single mother ikitokea nimeangukia huko.
 
Cha kwanza na kikubwa ni wewe kuchunguza sababu kwanini huyo mwanamke amekuwa single mother,kama mwanaume alikuwa ndiyo sababu ya yy kuwa hivyo basi ukiona tabia zake zinafaa hakuna tatizo lolote maana siyo kwamba mwanamke single mother ni mcharuko. Ila kama yeye ndiyo chanzo kwa tabia zake ina maana hata wewe pia atakusumbua. Ila wengi wao wanajitambua na wanajua umuhimu wa kuwa na mtu na kutulia nae.
 
utakuwa huru ukiamua kuwa huru.. pia kabla ya kuoa single mama kama unavyoita jaribu kuchunguza sababu iliyopelekea yeye kuwa single, pili mawasiliano yake na mzazi mwenzie yakoje? nimeona wadada wamezaa lakini labda kwa bahati mbaya wanakuja kugundua mwanaume aliyezaa nae siyo type yake huaza fisa na wakiangalia umri bado upo ujitengenezea mazingira ya kuwa hivyo ili tu wapate wale wanaodhani ni type yao... na wapo kweli waliotelekezwa .. na wapo waliona kwa mwenendo huu na huyu mtu hapana ni kitanzi hichi inabidi ajisepee tu sababu hata kutunza mtoto alishindwa,... na wapo waliodanganywa na kumsaliti mzazi mwenzie na kuenda huko na kukuta ndivyo sivyo na kuamua kurudi kwa mzazi mwenzie akamakatalia.... na wapo ambao waliamua tu kuzaa kwa kutaka sura nzuri... na wapo uteen ulisababisha usingle ...

sasa ukishajua sababu iliyompelekea kuwa hivyo basi hakuna haja ya kuogopa wapo single mama walioumizwa na wanahitaji mapenzi tena ya dhati, na ni wake bora na wanaojitambua muhimu ni mkubaliane namna ya kuhandle hiyo situation...
kama unapesa utapata unayemtaka
 
Back
Top Bottom