Suala la kuzaa hovyo wala halina mjadala, pia halina namna unaweza kulihalalisha. Ni tabia isiyofaa katika jamii na ni kuwanyima watoto malezi bora. Garbage ni pamoja na kujaribu kuaminisha ouwa hilo ni jambo la kawaida, ni kinyume na noms za jamii isipokuwa kuna kizazi kimekuwa programmed kuamini ni natural. Hata wanyama hawazai bila utaratibu. Mind programming ni jambo la hatari sana
Anzisha madaKwahiyo wewe kwako mwanaume mwenye tabia mbovu ni yupi??
Anzisha mada
Ok, tuseme basi suala la uzazi halihitaji kuwa jinsia mbili, hata mwanamke peke yake aweza kujenga familia. Basi hhakuna haja ya malalamiko ya single mothers kutelekezwa, it is natural. Single mothers mmeshinda, zaeni for as much as you wish
Kwa hasara ya muoaji. Tunatahadharisha tu. Hata pakiti ya sigara imeandikwa tahadhari lakini bado watu wananunua wanavuta, at their own risk.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sasa swala siyo mimi kupenda ila swala ni uhalisia kwamba wapo wanaoolewa
Bado ni bora mara 100 kuliko single motherHuyo mke fresh anapimwaje mkuu? Unaweza chagua unayedhani ni fresh ila maisha yake alopitia na mambo yake kiujumla single mama anasubiri
Jibu hili liwafikie single mothers wote na watetezi wao. Kuolewa sawa lakini vigezo na masharti vizingatiwe. Nje ya vigezo hivi ni kwamba mwanaume ameamua kujisulubu mwenyewe, yatakayompata shauri yake, asiseme hakuonywa.Single mother anapaswa kuolewa na single father au Mgane au mwanaume wa makamo au mzee. Kamwe kijana usijaribu kuchukua single mother, utakuwa unabahatisha mnoo, na huenda ukateseka sana.
Single mother hawana shida, shida ni vijana wanaokimbilia kuwaoa single mother wakati vigezo na masharti hawawezi kuvizingatia.
Mkuu, tunaposema jamii iepuke uzinzi na uasherati ni kuwakumbusha tu kwani wapo wenye akili njema (wasioharibika akili bado) wanaweza kunufaika na ushauri huo. Sasa kama wewe umeona hoja hizi ni za kuudhi kwako basi, ujue mada hii si kwa ajili yako. Hata imani za kidini zinapohubiriwa si wote wanaokubaliana na mwelekeo wake. Ila tu si busara hata kidogo kudai eti nikomaze mshipa kwamba siwezi kusaidia lolote, wapo wengi tu walionishukuru PM, tena wanawake, hao nawaita wanaojitambua. Nikutakie sex revolution njema, ila daima kumbuka ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.naona umepindisha hoja yangu makusudi,ni hivi.. single mazas wataendelea kuwepo..whether wanapata support ama kutelekezwa..hiki kitu is bound to happen..sasa wewe kazana kutoa mshipa wa shingo kudhani utasaidia lolote usingle mother usitokee..soo naïve.
Mkuu, tunaposema jamii iepuke uzinzi na uasherati ni kuwakumbusha tu kwani wapo wenye akili njema (wasioharibika akili bado) wanaweza kunufaika na ushauri huo. Sasa kama wewe umeona hoja hizi ni za kuudhi kwako basi, ujue mada hii si kwa ajili yako. Hata imani za kidini zinapohubiriwa si wote wanaokubaliana na mwelekeo wake. Ila tu si busara hata kidogo kudai eti nikomaze mshipa kwamba siwezi kusaidia lolote, wapo wengi tu walionishukuru PM, tena wanawake, hao nawaita wanaojitambua. Nikutakie sex revolution njema, ila daima kumbuka ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.
Ndiyo, sababu Mungu ni wa wote.Kwa hasara ya muoaji. Tunatahadharisha tu. Hata pakiti ya sigara imeandikwa tahadhari lakini bado watu wananunua wanavuta, at their own risk.
Evolutionary!! Nothing is evolutionary bali ni kujidanganya. Majuto ni mjukuu, hiyo sex evolution ni mind programming. Ni aibu baadhi ya watu wasiojitambua wameambukizwa fikra hizi za hovyo kabisa. Mwisho wake huwa ni mbaya no matter what!
Sina cha kujifunza kwenye hizo sexual evolution. Nimetafiti yote hayo na si hivyo tu, sasa hivi hata hao waliokulisha matango pori huko kwao wanajuta. Ulaya na marwkani sasa hivi wako kinyume na huo upuuzi, wakati nchi zisizojitambua ndio zinajidai kufuata hayo. Wewe ndio unaishi katika ulimwengu wa kufikirika, umepote kweli kweli, umekaririshwa mambo ambayo ni theoretical kwani katika practoce yameshindwa vibaya mno.Wa kujidanganya ni wewe, naona unaishi kwenye ulimwengu wa kufikirika..ulimwengu ambao kila mtu anaconform to the rules!..hasa wanawake ,, lazima wafate rules!...hata wale religious extremists huwa wanaanzaga kama wewe kufikiri kila mtu lazima a conform to their ways!..nakuvuta uone the real world naona bado mzito,,,kwa heri!
Evolution and mind mapping..ukipata muda tafuta mwenyewe....very interesting,,,ni kwa vile tayari uko biased...nyekundu utasema nyeusi hata kama unaiona kabisaa kuwa ni nyekundu...
Naona usingle mothers na uuaji unabariki uuaji,,, doh! Watoto walikufanya nini hutaki kuwasikia?
Including sisi tuliokataa kuoa single mothers na tunaendelea kuhimiza wengine wafuate mfano huo. Single mother hapana, hilo nimelipiga marufuku kwenye familia yangu na jamii yangu yote na nasisitiza kwa wote ninaowapenda waepuke hiyo laana.Ndiyo, sababu Mungu ni wa wote.
Laana right?? Vipi na wale single mothers wanaohangaika na watoto peke yao hadi mwisho wa siku watoto wao wanakuja kufanikiwa kielimu na kiuchumi??Including sisi tuliokataa kuoa single mothers na tunaendelea kuhimiza wengine wafuate mfano huo. Single mother hapana, hilo nimelipiga marufuku kwenye familia yangu na jamii yangu yote na nasisitiza kwa wote ninaowapenda waepuke hiyo laana.
Hata wanaokunywa madawa ya kulevya watasema Mungu ni wa wote! Kwahiyo endelea kutetea single mothers, sisi wengine tunakataza na kupinga kabisa laana hiyo.