Chapa mpaka ilale
Senior Member
- May 17, 2018
- 152
- 159
Ni kwel sio vyema kuwahukumu wanawake wote na ilo lipo waz ata ndan ya maisha yangu mm mwenyewe na nimekuwa sychlogically infected siwez kumuamkia mmama yeyote ambae sina data zake cha zaidi ntamsalinia "habar za saiz " ila wapo ninaowaamkia hawa huwa nina data zaoKwanza pole kwa mapito uliyopitia
Pili sio kila mwanamke anatabia kama za mama na dada yako
Usihukumu wanawake wote kwa ajili ya kosa la mama yako
Nasema kosa la mama yako sio dada zako,najua hapo hao dada zako wamepandikizwa mbegu ya chuki toka kwa mama ako
Mfano unaweza kuona kila mama wa kambo ni mbaya lkn sio kweli
Unaweza kukuta mama wa kambo mwingine ni mwema sana kuliko mama mzazi halisi. Na kuna mwanamke mwingine anaubaguzi kwa watoto wake mwenyewe aliowazaa na mwanaume mmoja kwa kubagua nani anamaisha mazuri kwa wkt,nani anakazi nzuri au biashara au pesa.
Samehe toa kinyongo ndani yake ili uzipate baraka za Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha kisa kimojaKwanza pole kwa mapito uliyopitia

Si wachache wapo sana mpaka wanabambikia watoto akiona hapati mimba anatafuta huko na kumletea mme wa mtu, unajua huyu mme wa mtu anakuwa tayari na maisha,sasa hawa vijana wenzao huona kuanza naye maishi hatakula bata bora avamie kiota [emoji23][emoji23][emoji23]Hii ya kwenda kuzaa na mtu mwenye familia Mara nyingi hii imekaa kimaslahi hata mtoto akitelekezwa lawama abebeshwe mama tu.( lakini hawa ni asilimia ndogo sana mkuu).
Nachoweza kusema watu wafanye protected sex tu. Sema ndo ivo haiwezekani maana vijana nao wana misemo yao wanakuambia kula pipi na ganda lake hainogi
Mwanamke mmoja tu mwenye sifa hiyo ya "single mother" duniani, mwanamke Bora kuliko wote duniani, nae ni Mariam mama yake Yesu Kristo.
Hakuna mwanamke mwengine duniani mwenye sifa hiyo labda uwe poyoyo tu ndiyo uamini kuwa kuna mwanamke mwengine "single mother", kama mama'ko alikudanganya kuwa yeye ni "single mother" basi elewa alikuwa anawapanga mstari wanaume na kachanganyikiwa haelewi wewe akupachike kwa nani na ndiyo maana kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa mwamkie baba'ko.
Huyo ndiye single mother pekee duniani.Kesi Bikira Maria ni tofauti
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyo ndiye single mother pekee duniani.
Hizo kesi tofauti siyo zake yeye,hizo zako wewe. Hazimuhusu.
Walijipachika mimba wenyewe?Takwimu zinasema wengi wanaoongoza ni akinamama wa kiislamu kwasababu ya kuachana ovyo.
Pili wanawake wa kiislamu kwasababu wao wamejiweka kama pambo kwa mmeo hawafanyi kazi sasa wanaume hawapo tayari kuoa mke asie kuwa na msaada mwisho wanawazisha tu na kuondoka.
Takwimu kutokana na wito wa mkuu wa mkoa DaresSalaam
Wilaya zilizoongoza
Ilala
Temeke
Hizo ni wilaya ambazo waislamu ni wengi sana na ndio waliojaa kwa mkuu wa mkoa wakiwa single mother.
Kinondoni
Ubungo
Wengi ni wakristo na hakuna takwimu kubwa za usingle mother.
Wito
Shule ni muhimu sana kwa watoto wa kike sio kukimbilia kuzaa na kuolewa
Takwimu zinasema wengi wanaoongoza ni akinamama wa kiislamu kwasababu ya kuachana ovyo.
Pili wanawake wa kiislamu kwasababu wao wamejiweka kama pambo kwa mmeo hawafanyi kazi sasa wanaume hawapo tayari kuoa mke asie kuwa na msaada mwisho wanawazisha tu na kuondoka.
Takwimu kutokana na wito wa mkuu wa mkoa DaresSalaam
Wilaya zilizoongoza
Ilala
Temeke
Hizo ni wilaya ambazo waislamu ni wengi sana na ndio waliojaa kwa mkuu wa mkoa wakiwa single mother.
Kinondoni
Ubungo
Wengi ni wakristo na hakuna takwimu kubwa za usingle mother.
Wito
Shule ni muhimu sana kwa watoto wa kike sio kukimbilia kuzaa na kuolewa
Wanawake wa Kiislam hawafanyi kazi? Ndivyo unavyojidanganya?Takwimu zinasema wengi wanaoongoza ni akinamama wa kiislamu kwasababu ya kuachana ovyo.
Pili wanawake wa kiislamu kwasababu wao wamejiweka kama pambo kwa mmeo hawafanyi kazi sasa wanaume hawapo tayari kuoa mke asie kuwa na msaada mwisho wanawazisha tu na kuondoka.
Takwimu kutokana na wito wa mkuu wa mkoa DaresSalaam
Wilaya zilizoongoza
Ilala
Temeke
Hizo ni wilaya ambazo waislamu ni wengi sana na ndio waliojaa kwa mkuu wa mkoa wakiwa single mother.
Kinondoni
Ubungo
Wengi ni wakristo na hakuna takwimu kubwa za usingle mother.
Wito
Shule ni muhimu sana kwa watoto wa kike sio kukimbilia kuzaa na kuolewa
Hapo hapana wala haiendani kubali kuwa kitakwimu niwachache, ukienda kusini mabinti wadogo wanazaa watoto wenzao binti mdogo anakuwa na mjukuuWanawake wa Kiislam hawafanyi kazi? Ndivyo unavyojidanganya?
Makamo wa Rais wa Tanzania ni nani?
Waziri wako wa afya ni nani?
Wachache nini?Hapo hapana wala haiendani kubali kuwa kitakwimu niwachache, ukienda kusini mabinti wadogo wanazaa watoto wenzao binti mdogo anakuwa na mjukuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mama acha kujitoa ufahamu aliyesoma kasoma nyie ndiyo wale utasikia elimu inasidia nini wakati watu wakipewa vyeo mnalalamika kuna upendeleo , sasa utapewa vipi kazi nzuri ili hali huna elimu, acha kupotoshaWachache nini?
Hao unaodhani wewe kuwa wamesoma wameleta mabadiliko yepi kwenye hii nchi?
Hizo "takwimu" zako ulifanya wewe huo utafiti au nani? Weka hapa tuzione au unaota tu?
Huko Kusini kuna Sharia za Kiislam?
Au ulichokisoma hukukielewa au ulichokisoma hukukipenda? Soma tena ujibu maswali ulivyoulizwa wacha kubwabwaja na kuhororoja kama mke wa Kizaramo aliyeletewa mke mwenza jirani.Wewe mama acha kujitoa ufahamu aliyesoma kasoma nyie ndiyo wale utasikia elimu inasidia nini wakati watu wakipewa vyeo mnalalamika kuna upendeleo , sasa utapewa vipi kazi nzuri ili hali huna elimu, acha kupotosha
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa nini umefikia huo uamuzi?