Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kwanza pole kwa mapito uliyopitia
Pili sio kila mwanamke anatabia kama za mama na dada yako
Usihukumu wanawake wote kwa ajili ya kosa la mama yako
Nasema kosa la mama yako sio dada zako,najua hapo hao dada zako wamepandikizwa mbegu ya chuki toka kwa mama ako
Mfano unaweza kuona kila mama wa kambo ni mbaya lkn sio kweli
Unaweza kukuta mama wa kambo mwingine ni mwema sana kuliko mama mzazi halisi. Na kuna mwanamke mwingine anaubaguzi kwa watoto wake mwenyewe aliowazaa na mwanaume mmoja kwa kubagua nani anamaisha mazuri kwa wkt,nani anakazi nzuri au biashara au pesa.
Samehe toa kinyongo ndani yake ili uzipate baraka za Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwel sio vyema kuwahukumu wanawake wote na ilo lipo waz ata ndan ya maisha yangu mm mwenyewe na nimekuwa sychlogically infected siwez kumuamkia mmama yeyote ambae sina data zake cha zaidi ntamsalinia "habar za saiz " ila wapo ninaowaamkia hawa huwa nina data zao

Eg.kuna ma mdogo wangu mmoja hv mtu mmoja poa sn yaan ata nisipomuamkia najisikia vibaya anamzid ata mama mzazi sasa changamoto unajua inakuja wapi huyu husukumwa sn na watajwa hapo juu kwa kuadithiwa ata stori za kutungwa ili naye awe km wao ONE SIDE na kuna mambo huwa anafanya lkn nikimuangalia najua huyu sio akil zake kajazwa upepo ndio maana nasema in general i hate all women kwa mantink nyingine siwez kumpenda mwanamke ambae sina data zake na nina kesi nyingi za kutokuamkia kutokusalimia au kuwasilimia wamama ' habar za saiz " kwa bahat mbaya ata mm sina mda wa kujal zaid ntawaacha tu waongee
 
Kwanza pole kwa mapito uliyopitia
Pili sio kila mwanamke anatabia kama za mama na dada yako
Usihukumu wanawake wote kwa ajili ya kosa la mama yako
Nasema kosa la mama yako sio dada zako,najua hapo hao dada zako wamepandikizwa mbegu ya chuki toka kwa mama ako
Mfano unaweza kuona kila mama wa kambo ni mbaya lkn sio kweli
Unaweza kukuta mama wa kambo mwingine ni mwema sana kuliko mama mzazi halisi. Na kuna mwanamke mwingine anaubaguzi kwa watoto wake mwenyewe aliowazaa na mwanaume mmoja kwa kubagua nani anamaisha mazuri kwa wkt,nani anakazi nzuri au biashara au pesa.
Samehe toa kinyongo ndani yake ili uzipate baraka za Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha kisa kimoja
Nikiwa na miaka 13 dada zangu walikuwa wanang'ang'ania kuniogesha kwa madai eti mm sijugui vzr tena nje ya nyumba mademu wanatuchungulia mama yupo apo nakumbuka kuna demu anaitwa peni kuna siku alibaki kasimama tu anapiga chabo mpaka akafukuzwa na da yangu mkubwa lkn alikuwa ashapiga chabo za kutosha nimeish maisha ya aibu sn kuna majin mengine huwa tunayaumba wenyewe binadamu
 
Hii ya kwenda kuzaa na mtu mwenye familia Mara nyingi hii imekaa kimaslahi hata mtoto akitelekezwa lawama abebeshwe mama tu.( lakini hawa ni asilimia ndogo sana mkuu).

Nachoweza kusema watu wafanye protected sex tu. Sema ndo ivo haiwezekani maana vijana nao wana misemo yao wanakuambia kula pipi na ganda lake hainogi
Si wachache wapo sana mpaka wanabambikia watoto akiona hapati mimba anatafuta huko na kumletea mme wa mtu, unajua huyu mme wa mtu anakuwa tayari na maisha,sasa hawa vijana wenzao huona kuanza naye maishi hatakula bata bora avamie kiota [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke mmoja tu mwenye sifa hiyo ya "single mother" duniani, mwanamke Bora kuliko wote duniani, nae ni Mariam mama yake Yesu Kristo.

Hakuna mwanamke mwengine duniani mwenye sifa hiyo labda uwe poyoyo tu ndiyo uamini kuwa kuna mwanamke mwengine "single mother", kama mama'ko alikudanganya kuwa yeye ni "single mother" basi elewa alikuwa anawapanga mstari wanaume na kachanganyikiwa haelewi wewe akupachike kwa nani na ndiyo maana kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa mwamkie baba'ko.
 
Kesi Bikira Maria ni tofauti

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mungu awasimmie.Wengi hawajui wayapitiayo.Sasa mtu mmoja akikosea au wawili watatu basi mtu anakuja kucoment wote waonekane wabaya.Wote mnaowafanyi hila Mlaaniwe na kulaanika kwa sababu hamjui mateso yao na mnazidi kuwaumiza wkt wengine webgi mmelelewa ba wao .Kusahau fadhila nako ni Laana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ndiye single mother pekee duniani.

Hizo kesi tofauti siyo zake yeye,hizo zako wewe. Hazimuhusu.

Takwimu zinasema wengi wanaoongoza ni akinamama wa kiislamu kwasababu ya kuachana ovyo.
Pili wanawake wa kiislamu kwasababu wao wamejiweka kama pambo kwa mmeo hawafanyi kazi sasa wanaume hawapo tayari kuoa mke asie kuwa na msaada mwisho wanawazisha tu na kuondoka.
Takwimu kutokana na wito wa mkuu wa mkoa DaresSalaam
Wilaya zilizoongoza
Ilala
Temeke
Hizo ni wilaya ambazo waislamu ni wengi sana na ndio waliojaa kwa mkuu wa mkoa wakiwa single mother.

Kinondoni
Ubungo
Wengi ni wakristo na hakuna takwimu kubwa za usingle mother.

Wito

Shule ni muhimu sana kwa watoto wa kike sio kukimbilia kuzaa na kuolewa
 
Walijipachika mimba wenyewe?

Kuachana hakunfanyi mwanamke kuwa "single mother".
 
Takwimu zinasema wengi wanaoongoza ni akinamama wa kiislamu kwasababu ya kuachana ovyo.
Pili wanawake wa kiislamu kwasababu wao wamejiweka kama pambo kwa mmeo hawafanyi kazi sasa wanaume hawapo tayari kuoa mke asie kuwa na msaada mwisho wanawazisha tu na kuondoka.
Takwimu kutokana na wito wa mkuu wa mkoa DaresSalaam
Wilaya zilizoongoza
Ilala
Temeke
Hizo ni wilaya ambazo waislamu ni wengi sana na ndio waliojaa kwa mkuu wa mkoa wakiwa single mother.

Kinondoni
Ubungo
Wengi ni wakristo na hakuna takwimu kubwa za usingle mother.

Wito

Shule ni muhimu sana kwa watoto wa kike sio kukimbilia kuzaa na kuolewa

Unaonesha u muongo mpaka unajidanganya mwenyewe.

Hizo takwimu zako ziko wapi, au umezisoma wapi?

Ukishindwa kuonesha elewa kuwa u muongo na watu kama wewe, Kwa kudanganya kuhusu takwimu, ndiye mlioopelekea serikali kutunga sheria ya takwimu.

Tunasubiri "takwimu" zako. Hutoweza kuzileta kwani umezuwa tu.

Ndivyo mnavyodanganyana makanisani na wachungaji wako?
 
Takwimu zinasema wengi wanaoongoza ni akinamama wa kiislamu kwasababu ya kuachana ovyo.
Pili wanawake wa kiislamu kwasababu wao wamejiweka kama pambo kwa mmeo hawafanyi kazi sasa wanaume hawapo tayari kuoa mke asie kuwa na msaada mwisho wanawazisha tu na kuondoka.
Takwimu kutokana na wito wa mkuu wa mkoa DaresSalaam
Wilaya zilizoongoza
Ilala
Temeke
Hizo ni wilaya ambazo waislamu ni wengi sana na ndio waliojaa kwa mkuu wa mkoa wakiwa single mother.

Kinondoni
Ubungo
Wengi ni wakristo na hakuna takwimu kubwa za usingle mother.

Wito

Shule ni muhimu sana kwa watoto wa kike sio kukimbilia kuzaa na kuolewa
Wanawake wa Kiislam hawafanyi kazi? Ndivyo unavyojidanganya?

Makamo wa Rais wa Tanzania ni nani?

Waziri wako wa afya ni nani?
 
Hapo hapana wala haiendani kubali kuwa kitakwimu niwachache, ukienda kusini mabinti wadogo wanazaa watoto wenzao binti mdogo anakuwa na mjukuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo hapana wala haiendani kubali kuwa kitakwimu niwachache, ukienda kusini mabinti wadogo wanazaa watoto wenzao binti mdogo anakuwa na mjukuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachache nini?

Hao unaodhani wewe kuwa wamesoma wameleta mabadiliko yepi kwenye hii nchi?

Hizo "takwimu" zako ulifanya wewe huo utafiti au nani? Weka hapa tuzione au unaota tu?

Huko Kusini kuna Sharia za Kiislam?
 
Wewe mama acha kujitoa ufahamu aliyesoma kasoma nyie ndiyo wale utasikia elimu inasidia nini wakati watu wakipewa vyeo mnalalamika kuna upendeleo , sasa utapewa vipi kazi nzuri ili hali huna elimu, acha kupotosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mama acha kujitoa ufahamu aliyesoma kasoma nyie ndiyo wale utasikia elimu inasidia nini wakati watu wakipewa vyeo mnalalamika kuna upendeleo , sasa utapewa vipi kazi nzuri ili hali huna elimu, acha kupotosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Au ulichokisoma hukukielewa au ulichokisoma hukukipenda? Soma tena ujibu maswali ulivyoulizwa wacha kubwabwaja na kuhororoja kama mke wa Kizaramo aliyeletewa mke mwenza jirani.
 
Takwimu hizo hapo mnaotaka takwimu.

ea3cb6dd-d7f4-45ab-9829-8870ade801fd.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom