Hahahahahaha kudadek ngoja akusikieMassey-Ferguson Mahenge [emoji23][emoji23]
KINGAMbilinyi ni Wakinga au Wabena?
Hahahahahaha kudadek ngoja akusikieMassey-Ferguson Mahenge [emoji23][emoji23]
NgonyaniAu wangoni akina George Mapunda,Tembo,
duhhkuna mwingne nilisoma naye anaitwa danger sanga nikamuuliza kisa cha hilo jina akasema kuna lori la mafuta liliharibika kijijini kwao lilikuwa limeandikwa DANGER kwenye tanki wazazi alipozaliwa wakampa hilo jina akasema kwao kukuta mtoto anaitwa trekta au fuso ni kawaida kutegemea mzazi kipi alikipenda kama greda akiliona akafurahi linavyofanya kazi mtoto akizaliwa kumwita greda sio ajabu
Sasa nafikiri mnafanya utani jamani,,,,!!!Kuna rafiki yangu anaitwa Mitsubishi Mbilinyi.
Da [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kuna mwingne nilisoma naye anaitwa danger sanga nikamuuliza kisa cha hilo jina akasema kuna lori la mafuta liliharibika kijijini kwao lilikuwa limeandikwa DANGER kwenye tanki wazazi alipozaliwa wakampa hilo jina akasema kwao kukuta mtoto anaitwa trekta au fuso ni kawaida kutegemea mzazi kipi alikipenda kama greda akiliona akafurahi linavyofanya kazi mtoto akizaliwa kumwita greda sio ajabu
Ha ha ha nkuu ume nifanya ni cheke hadi machozikuna mwingne nilisoma naye anaitwa danger sanga nikamuuliza kisa cha hilo jina akasema kuna lori la mafuta liliharibika kijijini kwao lilikuwa limeandikwa DANGER kwenye tanki wazazi alipozaliwa wakampa hilo jina akasema kwao kukuta mtoto anaitwa trekta au fuso ni kawaida kutegemea mzazi kipi alikipenda kama greda akiliona akafurahi linavyofanya kazi mtoto akizaliwa kumwita greda sio ajabu