Wakinga kwa majina ya kizungu hawajambo, ona haya

Hahahahahahhà
 
Dahh jamani watu mnajua kuchekeshaaa dah nimecheka mpaka mpaka watu kwenye daladala wananishagaaa
 
Nilicheka sana siku nilipoenda kumsabahi bibi nikakuta kuna mtoto wa jiran anaitwa penguin baada ya kuuliza kwanin walimuita hilo jina nkaambiwa kuna Costa imeandikwa hivo ndo alipanda mama yake siku anaenda kujifungua.
 

hakika nimecheka mpaka machozi, nadhani huu uzi ungepewa jina la thread maalum ya kuondolea strees afu mods wakaupin...
 

Syphilis Sanga

Cholesterol Chaula

Bacillus Tweve

Acidophillus Chando
 
Majina ya wakinga ni pasua kichwa huu uzi upo sahii
Petroleum fuel mbilinyi
Cutoff mahenge
Chelsea sanga-huyu anasoma ivumwe sec mbeya
Motorola luvanda
Top up chaula
Ford mahenge

Hawa ni watu ninao wafahamu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…