Wakinga kwa majina ya kizungu hawajambo, ona haya

Wakinga nimepita kwao hivi karibuni naona wanajengewa lami...bila shaka watoto wanaozaliwa sasa wataitwa Caterpillar Mahenge...au Sindilia Mederick Sanga au Horsepipe Kyando.

Hongereni kwa kupata lami njombe- makete watani
 
Nasikia kwa Tanzania Wakinga ndo wanaongoza kuwa na majina ya kizungu kama vile:-
- Foton Kyando
- Garage Tweve
- Heaven Msigwa
- Japanese Chando
- Bed-ford Luvanda
- Scania Sanga
- Ambulance Mbilinyi
- Poplin Mbilinyi
- Vodacom Mahenge
- O'clock Kyando
- Handel Nyaluke
- Stupid Denglisi Sanga
- Rogic Mbilinyi
- Tompion Mahenge
- Spiring Cobis Nyaluke
- Cubic Ngailo
- South Lwila
- Ring Span-er Mahenge
- Arabia Sanga
- Vodka Mbilinyi
- Wholesale Luvanda
- Tomorrow Mahenge
- Yesterday Kyando
- Classmate Ndelwa
- Vox Wagen Mbilinyi
- Datsun Tweijisage
- Main Road Amagite
- Dog Luvanda
- Foolish Mbilinyi
- Church Pila
- Safeli Handbrake Fungo
- Jupiter Gearbox Fungo
- Cross Joint Nyaluke
- Balimi Ndeti
- Highschool Sigalla
- Anopheles Mahenge
- Facebook Kyando
- Network Chaula
- Password Mbilinyi
- Mtandao Swalo
- Spanner Mahenge
- Isuzu Bighorn Chaula
n.k
Wakinga mpo juu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Haha dah
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni nyanda za juu kusini nzima, majina ya kiislamu kibao lakini hakuna misikiti mingi kama Pwani wala waislamu wengi. Akina Ally Abdallah wa kumwaga lakini ni wachugaji
Sio waislamu huwa wanajipa tu nina jirani anaitwa Abdallah Sanga hajui hata msikiti Ni Nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilicheka sana siku nilipoenda kumsabahi bibi nikakuta kuna mtoto wa jiran anaitwa penguin baada ya kuuliza kwanin walimuita hilo jina nkaambiwa kuna Costa imeandikwa hivo ndo alipanda mama yake siku anaenda kujifungua.
penguin hahaha dah!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1544]
 
Kuna akina Tulasti( trust),memory mbilinyi,Tanlod chaula,Nesi(nurse)fungo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…