Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
,[emoji23][emoji23][emoji23] ati sindilia mederick Santa,Caterpillar mahengeWakinga nimepita kwao hivi karibuni naona wanajengewa lami...bila shaka watoto wanaozaliwa sasa wataitwa Caterpillar Mahenge...au Sindilia Mederick Sanga au Horsepipe Kyando.
Hongereni kwa kupata lami njombe- makete watani View attachment 1121891
[emoji23][emoji23][emoji23] petroleum fuel mbilinyiMajina ya wakinga ni pasua kichwa huu uzi upo sahii
Petroleum fuel mbilinyi
Cutoff mahenge
Chelsea sanga-huyu anasoma ivumwe sec mbeya
Motorola luvanda
Top up chaula
Ford mahenge
Hawa ni watu ninao wafahamu kabisa
Nasikia kwa Tanzania Wakinga ndo wanaongoza kuwa na majina ya kizungu kama vile:-
- Foton Kyando
- Garage Tweve
- Heaven Msigwa
- Japanese Chando
- Bed-ford Luvanda
- Scania Sanga
- Ambulance Mbilinyi
- Poplin Mbilinyi
- Vodacom Mahenge
- O'clock Kyando
- Handel Nyaluke
- Stupid Denglisi Sanga
- Rogic Mbilinyi
- Tompion Mahenge
- Spiring Cobis Nyaluke
- Cubic Ngailo
- South Lwila
- Ring Span-er Mahenge
- Arabia Sanga
- Vodka Mbilinyi
- Wholesale Luvanda
- Tomorrow Mahenge
- Yesterday Kyando
- Classmate Ndelwa
- Vox Wagen Mbilinyi
- Datsun Tweijisage
- Main Road Amagite
- Dog Luvanda
- Foolish Mbilinyi
- Church Pila
- Safeli Handbrake Fungo
- Jupiter Gearbox Fungo
- Cross Joint Nyaluke
- Balimi Ndeti
- Highschool Sigalla
- Anopheles Mahenge
- Facebook Kyando
- Network Chaula
- Password Mbilinyi
- Mtandao Swalo
- Spanner Mahenge
- Isuzu Bighorn Chaula
n.k
Wakinga mpo juu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio waislamu huwa wanajipa tu nina jirani anaitwa Abdallah Sanga hajui hata msikiti Ni Nini.
Hahahahahahah wape mzeyNYEVOONI MULEVAPELWA, MUKHOTWIKHE, MUVIE AMADAKHO
ila nyie watu wa humu nimewashindwa
NYEVOONI MULEVAPELWA, MUKHOTWIKHE, MUVIE AMADAKHO
🤣🤣🤣🤣🤣
penguin hahaha dah!Nilicheka sana siku nilipoenda kumsabahi bibi nikakuta kuna mtoto wa jiran anaitwa penguin baada ya kuuliza kwanin walimuita hilo jina nkaambiwa kuna Costa imeandikwa hivo ndo alipanda mama yake siku anaenda kujifungua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1544][emoji1544][emoji1544]Kuna Tube light sanga na test tube sanga ni mapacha hawa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1493]tughe sanga
(tughe hii chama cha wafanyakazi wa afya)
Pequin inapiga route za kipangalo makete makambakopenguin hahaha dah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1544]