Wakinga Wana ajenda gani Kariakoo?

Wakinga Wana ajenda gani Kariakoo?

Huu ni uongo.

Process ya kuuza kiwanja kilichopimwa na serikali sio nyepesi kiasi cha mtu kutekwa na kusainishwa kibabe.

Hakuna kiwanja kigumu kukitapeli kama Kiwanja chenye ramani ya mipangomiji, site plan, plot number na block name.

Viwanja vya kariakoo vyote vina sifa hizo nilizotaja.. huwezi kuvitapeli
 
Nchi
Wakinga wamekuwa tishio sio tu kwenye kufanya biashara kariakoo Bali tuliwazoea Kama watu ambao wapo serious na utafutaji kariakoo

Lakini sasa wamegeuka kuwa hatari kwa usalama wa raia idara za usalama zinatakiwa kufatilia

Iko hivi sasahivi mkinga akitaka eneo kariakoo atalichukua tu utake usitake

Kwanza anakufuata anakwambia anataka kuuziwa eneo lako.

Ukikataa utatekwa utapelekwa kusikojulikana utasainishwa mkataba na ndio utakuwa imeisha hiyo

Kinga tycoon ni hatari Sana wamewazidi mbali sana Kikuyu wa Kenya ambao ndio walikuwa ma tycoon hatari zaidi kusini mwa jangwa la Sahara!!

Sasa najiuliza idara zetu za usalama zimekubali watu wengine wasiwe na haki ya kuwa na maeneo kariakoo? Au ni planned?

Fanyeni research me nimeleta kwa sababu nime experience the consequences

Aise Hawa jamaa ni Mafia sijawai kuona!!
Nchi za wenzetu, mtoa mada angekuwa dawati la police sasa hivi akitoa ushahidi. Vinginevyo, Wakinga na wahindi wana tabia moja anavaa shati moja mwezi mzima, anakula kwa budget isiyobadilika, hanunui chochote bila mpango, na ni watu simple, huwezi kuwadhania. Kutajirika kwao sio hiari. Kama ya kitamaduni yapo basi walifundishwa uchumi mzuri.
 
Je wakikusainisha kwa nguvu hela wanakupa? Kile kiasi walichotaka kukupa au ndiyo unaoshwa kabisa?
 
Nchi

Nchi za wenzetu, mtoa mada angekuwa dawati la police sasa hivi akitoa ushahidi. Vinginevyo, Wakinga na wahindi wana tabia moja anavaa shati moja mwezi mzima, anakula kwa budget isiyobadilika, hanunui chochote bila mpango, na ni watu simple, huwezi kuwadhania. Kutajirika kwao sio hiari. Kama ya kitamaduni yapo basi walifundishwa uchumi mzuri.
Wahindi , wakinga na waha hawa watu wanazaliwa na chembechembe za utafutaji ndio maana wanafanikiwa chap , mfano waha kwenye nguo na kipodozi kariakoo wako wengi hata Antony mtaka hayo makabila aliyataja Sana kua wameshika kariakoo,wengine tujifunze kwao hao watu kiuchumi hawana muda watatutawala,
 
Mkuu hii taarifa yako sio tu ya kuchukulia poa ila pia inahitaji vyombo vyote vya usalama kufuatilia ni bora ungetoa hata mwanga kwamba mfano plot namba flani wamefanya umafia wao pale.
Maana kwa sasa inaonekana Tanzania imekuwa shamba la bibi mtu anaweza kufanya jambo llte bila hata hofu.
Dah! Samia stuka kuna wahuni wanakuhujumu kama ni kweli
Wao wafanye utafiti binafsi Nina ushahidi usiokuwa na Shaka
 
Back
Top Bottom