Wakinga Wana ajenda gani Kariakoo?

Huu ni uongo.

Process ya kuuza kiwanja kilichopimwa na serikali sio nyepesi kiasi cha mtu kutekwa na kusainishwa kibabe.

Hakuna kiwanja kigumu kukitapeli kama Kiwanja chenye ramani ya mipangomiji, site plan, plot number na block name.

Viwanja vya kariakoo vyote vina sifa hizo nilizotaja.. huwezi kuvitapeli
 
Nchi
Nchi za wenzetu, mtoa mada angekuwa dawati la police sasa hivi akitoa ushahidi. Vinginevyo, Wakinga na wahindi wana tabia moja anavaa shati moja mwezi mzima, anakula kwa budget isiyobadilika, hanunui chochote bila mpango, na ni watu simple, huwezi kuwadhania. Kutajirika kwao sio hiari. Kama ya kitamaduni yapo basi walifundishwa uchumi mzuri.
 
Je wakikusainisha kwa nguvu hela wanakupa? Kile kiasi walichotaka kukupa au ndiyo unaoshwa kabisa?
 
Wahindi , wakinga na waha hawa watu wanazaliwa na chembechembe za utafutaji ndio maana wanafanikiwa chap , mfano waha kwenye nguo na kipodozi kariakoo wako wengi hata Antony mtaka hayo makabila aliyataja Sana kua wameshika kariakoo,wengine tujifunze kwao hao watu kiuchumi hawana muda watatutawala,
 
Wao wafanye utafiti binafsi Nina ushahidi usiokuwa na Shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…