Wakishinda huko Levi Mwanawasa Mjini Ndola ' Weekend ' hii nitaogelea kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar au Najinyonga kabisa!

Mimi nasubiri ukishamaliza kuogelea nikupake KY
 
Dah! Kagera sukari, inaweza kuwa tiba ya ugonjwa wako...Cheki na Mexime...atakusaidia...ya Zambia Yaache tu, yupo Juma Balinya atamaliza.....
 
Mbumbumbu badala ya kupambana na UD Kagera Songo mnahangaika na Yanga
 
Huwa ukiwaambia hii kitu wanasema eti bila wao wote tusingekuwa Form Three.

Wapambane na Kagera hebu, Huku sisi tukiwa tunawaza kupindua meza kibabe huko Zambia.
 
Kapumbu wala siyo mshambuliaji bali beki wa kushoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…